Hainenepeshi kaka? Na hayo majani flani hivi ndio yapi? hahahahhahahahahMkuu mi naonaga bi mkubwa akikamata ndizi kuiva, peanut butter, maziwa ya soya,Asali, Vannila na Majani flani hivi..Anaweka kwenye blender..anablendi akitoa hapo inatoka kitu jamii ya milk shake ni kali balaa..
Mkuu ni vimajani fulani vimbemba vembamba naweza kwenda kumuuliza jina lake Bi mkubwa ila nahofia hayo maswali kwamba ni nani unaenda mwambia.Lol...Hainenepeshi nadhani ukiwa unafanya mazoezi mi mara mingi nainywaga jioni baada ya kutoka gym...Hata msosi wa usiku unaweza usile na unajihisi energetic mbaya...hainenepeshi kaka? na hayo majani flani hivi ndio yapi? hahahahhahahahah
Hahahahaahahaah niulizie mwaya, mwambie naona unayaweka tu kwa milkshake ila sijui yanaitwajeMkuu ni vimajani fulani vimbemba vembamba naweza kwenda kumuuliza jina lake Bi mkubwa ila nahofia hayo maswali kwamba ni nani unaenda mwambia.Lol...Hainenepeshi nadhani ukiwa unafanya mazoezi mi mara mingi nainywaga jioni baada ya kutoka gym...Hata msosi wa usiku unaweza usile na unajihisi energetic mbaya...
Ahhhhhhhhhhhhhhhh usinifanyie hivyo mkuuu, ukumbuki hapa ndio JF, we share ndugu, embu tupia japo kidogo, tumechoka kunywa juice za viwandani jamani🙁🙁🙁Smoothie ni juisi tu ila inatengenezwa kwa kutochujwa. Ukiacha matunda, unaongeza asali, ice, maziwa na una blend kwa mara moja! Yapo mengi ila uvivu kuandika
Poa poa ntajaribuKuna aina nyingi....
Google recipes tofauti tofauti utengeneze
Hili tangazo lako linahusiana chochote na smoothie, maana sielewi
Hehehe hii ni aina ya smoothie???tutajie recipe yake Mkuu
HahahaahahahaHehehe hii ni aina ya smoothie???tutajie recipe yake Mkuu
Na IceMkuu mi naonaga bi mkubwa akikamata ndizi kuiva, peanut butter, maziwa ya soya,Asali, Vannila na Majani flani hivi..Anaweka kwenye blender..anablendi akitoa hapo inatoka kitu jamii ya milk shake ni kali balaa..
Wakuu, habari za mchana, nadhani tunajua watu wengi sikuhizi wamekuwa wakijali sana afya zao na wamekuwa wakitafuta namna ya kutengeneza au kula zaidi vyakula vya asili kuliko vya kwenye makopo.
Na najua humu ndani watu wengi wana utaaalamu tofauti wa kuandaa vitu hivyo, sasa nilikuwa naomba kama kuna anaeweza kunisaidia kuandaa smoothies za aina mbali mbali, hasa kwa wale wanaotaka kupungua uzito so wazitumie kama mbadala wa chakula hivi. Ntashukuru
Mkuu mi naonaga bi mkubwa akikamata ndizi kuiva, peanut butter, maziwa ya soya,Asali, Vannila na Majani flani hivi..Anaweka kwenye blender..anablendi akitoa hapo inatoka kitu jamii ya milk shake ni kali balaa..
Mkuu ni vimajani fulani vimbemba vembamba naweza kwenda kumuuliza jina lake Bi mkubwa ila nahofia hayo maswali kwamba ni nani unaenda mwambia.Lol...Hainenepeshi nadhani ukiwa unafanya mazoezi mi mara mingi nainywaga jioni baada ya kutoka gym...Hata msosi wa usiku unaweza usile na unajihisi energetic mbaya...
Smoothie ni juisi tu ila inatengenezwa kwa kutochujwa. Ukiacha matunda, unaongeza asali, ice, maziwa na una blend kwa mara moja! Yapo mengi ila uvivu kuandika
Zipo nyingi sanaaa, kuna green smoothie na smoothie za kawaida,
Green smoothie zinahusisha mboga mboga mfano spinach, sukuma wiki kutegemeana na maeneo ulipo
Na nyinginezo ni pamoja unaweza kutumia mtindi, protini poeder ukablend na ndizi au tunda lingine lolote kutokana na jinsi upendavyo.
Ni vizuri ukasafisha mboga mboga na Apple cider vinegar kwa usalama wa afya yako
Vitu muhimu ni kuhakikisha huweki vitu vingi sana, mfano kama umeweka cinamon powder usiweke protini powder, kimoja tu kati ya hivyo kinatosha sana kwa afya na kukupa ladha nzuri pia
poa poa ahsante sana, kama nitakuwa na maswali nitakuuliza
Maziwa yanakuwa fresha au mtindi??Mi napenda ya tende na maziwa. Unaweka na ndizi kdg na karanga na habbat sauda.
Au parachichi na maziwa na na sukari. Unaweka na arki ya strawberry au vimto.
Maa Salam kwa sasa
Either fresh milk au maziwa ya unga ya nidoMaziwa yanakuwa fresha au mtindi??
Aiseeee we kama unapenda ndizi, chukua tikiti maji changanya na ndizi, parachichi na embe, dah!! Nilitengeneza kitu hicho, ni noma, nzitooooo balaaa, haiitaji sukar wala niniNachojua tu kwepo na Tunda linalotengeneza juice nzito mfano ndizi au parachichi then unamix na utakachopenda
Me napenda ndizi embe au ndizi passion na papai