Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 79,036 Reaction score 168,676 May 29, 2013 #1 Smile said: kuna siku clouds watabaki wanapiga tu nyimbo za kwaya ya parokia ya mavurunza Click to expand... Imenitengenezea sana siku yangu
Smile said: kuna siku clouds watabaki wanapiga tu nyimbo za kwaya ya parokia ya mavurunza Click to expand... Imenitengenezea sana siku yangu
KakaJambazi JF-Expert Member Joined Jun 5, 2009 Posts 18,828 Reaction score 12,321 May 29, 2013 #2 What a thredi ya kujipendekeza!!
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,649 Reaction score 19,042 May 29, 2013 #3 nini kinaendelea...?
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 55,873 Reaction score 55,747 May 29, 2013 #4 Jitahidini kujenga jina.
Filipo JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 9,347 Reaction score 5,555 May 29, 2013 #5 Bujibuji said: Imenitengenezea sana siku yangu Click to expand... Hiyo ni kweli kabisa! Nilikuwa nafikiria the same!
Bujibuji said: Imenitengenezea sana siku yangu Click to expand... Hiyo ni kweli kabisa! Nilikuwa nafikiria the same!
Filipo JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 9,347 Reaction score 5,555 May 29, 2013 #6 kabanga said: nini kinaendelea...? Click to expand... Comment ya Smile imemfurahisha katuwekea na sisi tuione! Ndio maana nampenda kuliko wewe! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
kabanga said: nini kinaendelea...? Click to expand... Comment ya Smile imemfurahisha katuwekea na sisi tuione! Ndio maana nampenda kuliko wewe!
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,649 Reaction score 19,042 May 29, 2013 #7 Filipo said: Comment ya Smile imemfurahisha katuwekea na sisi tuione! Ndio maana nampenda kuliko wewe! Click to expand... sina hakika na hilo.... ila isijidanganye!
Filipo said: Comment ya Smile imemfurahisha katuwekea na sisi tuione! Ndio maana nampenda kuliko wewe! Click to expand... sina hakika na hilo.... ila isijidanganye!
Filipo JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 9,347 Reaction score 5,555 May 29, 2013 #8 kabanga said: sina hakika na hilo.... ila isijidanganye! Click to expand... Hata Smile ananipenda sana ila anamwogopa sana mke wangu marejesho! wewe huwezi jua maana bado mdogo sana! Mambo ya kikubwa haya!
kabanga said: sina hakika na hilo.... ila isijidanganye! Click to expand... Hata Smile ananipenda sana ila anamwogopa sana mke wangu marejesho! wewe huwezi jua maana bado mdogo sana! Mambo ya kikubwa haya!
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,649 Reaction score 19,042 May 29, 2013 #9 Filipo said: Hata Smile ananipenda sana ila anamwogopa sana mke wangu marejesho! wewe huwezi jua maana bado mdogo sana! Mambo ya kikubwa haya! Click to expand... kwa hiyo unataka na mimi nimpende mkeo ?
Filipo said: Hata Smile ananipenda sana ila anamwogopa sana mke wangu marejesho! wewe huwezi jua maana bado mdogo sana! Mambo ya kikubwa haya! Click to expand... kwa hiyo unataka na mimi nimpende mkeo ?
Filipo JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 9,347 Reaction score 5,555 May 29, 2013 #10 kabanga said: kwa hiyo unataka na mimi nimpende mkeo ? Click to expand... Hata ukimpemda haitakusaidia sana maana nipo rohoni mwake!
kabanga said: kwa hiyo unataka na mimi nimpende mkeo ? Click to expand... Hata ukimpemda haitakusaidia sana maana nipo rohoni mwake!