Smile Karibuuu! Tulikumiss ile Mbaya.

Smile Karibuuu! Tulikumiss ile Mbaya.

Kweli, watu wakitaka kula tunda wananyenyekea kama wewe,
hongera sana, je mtoto mwenyewe amekuelewa.
Mamndenyi hii inshu mwenyewe Rejao! mie Smile nimemkaribisha jamvini tu. si kila kitu nimeweka hadharani!
 
Michael Scofield, mkuu unatisha!
Hatimaye my darling barafu wangu wa moyo Smile ametabasamu.
Thanx kwa kazi nzuri
Pamoja mkuu usijali, Smile wako tutakulindia kama tunavyomlinda Mwali wa Ivuga.
 
Back
Top Bottom