Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,522
- 14,005
Je nikitaka kujiunga na hiyo Internet ya Voda nifanye nini na itanigharimu kiasi gani.?Pendekezo
- Ndugu Emilias G Je ni PC ngapi umeziunga hapo ofisini? Nina PC 3 na zaidi huwa nina wageni wanaotumia device mbalimbali approximate 3-8 at once
- Je ni matumizi yapi ya internet makubwa uliyonayo? Sina matumizi makubwa sana,nahisi ni ya kawaida coz its just browsing and not download
- Vipi kuhusu outomatic updates za OS na programs mbalimbali katika PC utumiayo/ zitumikazo hapo ofisini? Sijaset hizo program za updates za OS
- Tumia NetLimiter - Ultimate Bandwidth Shaper - Hii itakuonyesha programs zote zitumiazo internet katika PC yako/ zako hapo ofisini. Na utakuwa na uwezo wa kulimit speed na hat kublock baadhi ya programs zisitumie kabisa internet. Ingia hapa ili kujifunza zaidi: NetLimiter - The Ultimate Bandwidth Shaper
2. Au waweza kutumia ZoneAlarm hii utaipata hapa: Firewall Antivirus Software and Computer Security Suite by ZoneAlarm , lengo ikiwa ni kudhibiti matumizi
3. Bora utumie unlimited ya Vodacom ambapo kwa mwezi ni tsh 40,000 na waweza download zaidi ya hizo gb 50 ambazo smile wanauza 375,000.
Je nikitaka kujiunga na hiyo Internet ya Voda nifanye nini na itanigharimu kiasi gani.?
Asante sana.
Jamaa wa jirani hawajakuliza kwenye wifi? Kulikuwa na mmoja humu aliomba asaidiwe namna ya kutumia wifi ya jirani yake. Kuwa mwangalifu.
Duh,nimeweka strong passwords,naamini hakuna mjanja wa kuiba net yangu.Huenda ameshare na jamaa wa ofisi ya jirani.
Asante,hapo nitapata connection kwenye PC moja na mimi nataka atleast nipate kwenye 3 PC na wireless,au kuna modem zenye wireless pia.? kama zipo zinaitwaje na zinapatikanaje na cost ikoje.?
- Modem tsh 30,000 [ kama hauna]
- Kisha piga *149*01# kwa kutumia simu yako au modem ukiwa umeweka salio la tsh 40,000/-chagua 7 ->chagua 1-> chagua 3 -> chagua 2 [tsh 40,000 (unlimited)]
duuuuh... Smile mbona gharama hivyo wakati mwalimu rct anakuunga tu na tg kiubweteeeeeeeeeeee as low as 8000 per month.
Asante,hapo nitapata connection kwenye PC moja na mimi nataka atleast nipate kwenye 3 PC na wireless,au kuna modem zenye wireless pia.? kama zipo zinaitwaje na zinapatikanaje na cost ikoje.?
Asanteni wote kwa michang yanu.
Wandugu habari za leo.?
Nimeona nishare ideas na ninyi wote:
Wiki iliyopita nilifunga Internet ya smile ofisini kwangu, na kupata 10GB kama kifurushi cha kuanzia lakini ndani ya siku 3 tu,nikaona GB 7 zimeisha,na nikiangalia nilichofanyia ni cha kawaida sana,kwenye mitandao mingine kama Voda,Airtel na tigo ningetumia labda 1-2 GB,sasa najiuliza nifanyeje ili niweze kusave cost ya kununua bundle za smila ambazo ni gharama kubwa angalia hapo chini:
Najiuliza nifanyeje ili nipate intenet ya uhakika na yenye gharama nafuu zaidi.?
Kwa anayejua tafadhali niPM au nijibu hapa jukwaani.
[h=1]Data Bundles[/h] Buy as much data as you need, when you need it.
[TABLE="class: bundle_table"]
[TR]
[TH]Prepaid Bundles[/TH]
[TH]Validity Period[/TH]
[TH]Bundle Price in TZS[/TH]
[TH="width: 203"]Out-of-Bundle Tariffs in TZS[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 130"]PPU (Pay-Per-Use)[/TD]
[TD]Not applicable[/TD]
[TD]Not applicable
[/TD]
[TD]25,000/= per GB[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 130"]500MB[/TD]
[TD]30 days[/TD]
[TD]10,500/=[/TD]
[TD]25,000/= per GB[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 130"]1GB[/TD]
[TD]30 days[/TD]
[TD]19,000/=[/TD]
[TD]25,000/= per GB[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 130"]3GB[/TD]
[TD]30 days[/TD]
[TD]42,500/=[/TD]
[TD]25,000/= per GB[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 130"]10GB[/TD]
[TD]30 days[/TD]
[TD]118,000/=[/TD]
[TD]25,000/= per GB[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 130"]20GB[/TD]
[TD]30 days[/TD]
[TD]180,000/=[/TD]
[TD]25,000/= per GB[/TD]
[/TR]
[TR="class: last"]
[TD="width: 130"]50GB[/TD]
[TD]30 days[/TD]
[TD]375,000/=[/TD]
[TD]25,000/= per GB
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
unasema kweli? Mwambie anipm tuongee
Ofisi ipo Arusha eneo la Sakina.Ofisi unayotaka kupata connection iko wapi?
Mimi nafanya provision ya satellite Internet connection, 512Kbps with unlimited monthly volume.
Price is $180 /month
Keep in touch with me if this may fit the needs