Smartphones za IPhone Ni bora zaidi?

Smartphones za IPhone Ni bora zaidi?

Walcotty

Member
Joined
Apr 5, 2015
Posts
13
Reaction score
0
Wadau nipeni mwanga hapa kwanini smartphone aina ya iphone ni ghari sana? Pia kwanini watu maarufu walio wengi hupenda kununua smartphone za iphone kuna nini cha zaidi?
 
Mkuu sio kila mara bei ya kitu huedana na ubora, sometimes it's a matter of class.
Apple ni classy gadgets na watu wanapenda classy staffs na apple wana good marketing stratergy japo si kati ya makampuni ambayo hutumia ela nyingi kufanya research wala matangazo kama ilivyo kwa samsung.
Ila wana propaganda ambazo zinawakamata watu, walipotoa iphone 5 na 5s walijitapa kwamba ni the most slim phone by the time wakati ni uongo, lakini watu waliamini hilo na baadhi ya medias zikaandika hivyo hivyo.
Kuna watu wanaamini iphone ndizo smart phones, hakuna smart phone zaidi ya iphone yani its all about marketing ni sawa mtu akifikiria tablet utakuta watu wengi wanasema nina ipad yangu ya samsung, wakati hakuna ipad ya samsung ipad ni brand name ya tablet za apple au ni sawa na mtu akiwaza maziwa ya kopo awaze NIDO mpaka ifike kipindi mtu adhani neno NIDO linamaanisha maziwa ya unga ya kopo.
Lakini on the other side ni kweli iphone ni simu nzuri, kwasababu zangu zifuatazo.
1. Kwenye app store yao huwezi kukuta malware. Ukikuta app description imeandikwa inafanya kazi flani ni kweli ukiidownload itakuwa inafanya kazi hiyo tofauti na kwenye android kuna apps nyingi unadownload kumbe takataka.
2. Ios iko stable na haina bugs na kucrash crash kama ilivyo kwenye android hivyo simu ina run smoothly.
3. Hardware na os za simu zake zinafanya kazi smoothly kwakuwa yeye ndiye designer wa hardware na software , hili linamfanya awe na uwigo mpana wa kutawala gadgets zake tofauti na android os anatengeneza google simu makampuni mengine.
4. Ni classy na gagets zake huchukua muda kuchuja. Iphone 6+ imetoka kabla ya galaxy 6 lakini nakuhakikishia mpaka kufikia august bei ya galaxy s6 itakuwa imeshuka sana lakini ya iphone 6+ itakuwa bado kubwa.

Kwa upande wa pili kwa watu wanaopenda kutawala simu iphone sio nzuri maana huitawali kama utakavyo japo kwenye ios 8 karuhusu baadhi ya vitu kama ku customize keyboard kwa kutumia 3rd party app lakini bado iko so closed.
Kuhusu watu maarufu kutumia simu za iphone its all about classy na nadhani ukiongelea umaarufu nadhan unamaanisha watu wa entertainment industry hasa wa marekani, apple ni kampuni ya kimarekani ukichanganya na u classy na wamarekani wanapenda sana kutumia prodcuts zao basi hilo nahisi ndilo jibu.
Mimi nina iphone 5 mwaka wa 2 sasa lakini mpaka leo samsung zinakuja nakupita still iphone 5 bado deal hata za mkononi hupati chini ya 550 used kwa mtu lakini galaxy s5 nishaona watu wanauza mpaka mpya kwa 550.
 
Elimagnifico nimekusoma mdau yaani umenipa mwanga hapo asante kiongozi.
 
Hapo sawa mkuu hata mm ninayo yangu iPhone 4s yaan ni burudani tupu nafanya nachotaka,ol n ol iPhone ziko poa siji kubadilisha simu zaidi Ya iPhone ni mwendelezo tu 5,5s na kuendelea bt sijashawishika kuacha kutumia iPhone
 
Mwenye Iphone 5s inaitajika ASAP ila isiwe ya kukwapua
 
Mkuu sio kila mara bei ya kitu huedana na ubora, sometimes it's a matter of class.
Apple ni classy gadgets na watu wanapenda classy staffs na apple wana good marketing stratergy japo si kati ya makampuni ambayo hutumia ela nyingi kufanya research wala matangazo kama ilivyo kwa samsung.
Ila wana propaganda ambazo zinawakamata watu, walipotoa iphone 5 na 5s walijitapa kwamba ni the most slim phone by the time wakati ni uongo, lakini watu waliamini hilo na baadhi ya medias zikaandika hivyo hivyo.
Kuna watu wanaamini iphone ndizo smart phones, hakuna smart phone zaidi ya iphone yani its all about marketing ni sawa mtu akifikiria tablet utakuta watu wengi wanasema nina ipad yangu ya samsung, wakati hakuna ipad ya samsung ipad ni brand name ya tablet za apple au ni sawa na mtu akiwaza maziwa ya kopo awaze NIDO mpaka ifike kipindi mtu adhani neno NIDO linamaanisha maziwa ya unga ya kopo.
Lakini on the other side ni kweli iphone ni simu nzuri, kwasababu zangu zifuatazo.
1. Kwenye app store yao huwezi kukuta malware. Ukikuta app description imeandikwa inafanya kazi flani ni kweli ukiidownload itakuwa inafanya kazi hiyo tofauti na kwenye android kuna apps nyingi unadownload kumbe takataka.
2. Ios iko stable na haina bugs na kucrash crash kama ilivyo kwenye android hivyo simu ina run smoothly.
3. Hardware na os za simu zake zinafanya kazi smoothly kwakuwa yeye ndiye designer wa hardware na software , hili linamfanya awe na uwigo mpana wa kutawala gadgets zake tofauti na android os anatengeneza google simu makampuni mengine.
4. Ni classy na gagets zake huchukua muda kuchuja. Iphone 6+ imetoka kabla ya galaxy 6 lakini nakuhakikishia mpaka kufikia august bei ya galaxy s6 itakuwa imeshuka sana lakini ya iphone 6+ itakuwa bado kubwa.

Kwa upande wa pili kwa watu wanaopenda kutawala simu iphone sio nzuri maana huitawali kama utakavyo japo kwenye ios 8 karuhusu baadhi ya vitu kama ku customize keyboard kwa kutumia 3rd party app lakini bado iko so closed.
Kuhusu watu maarufu kutumia simu za iphone its all about classy na nadhani ukiongelea umaarufu nadhan unamaanisha watu wa entertainment industry hasa wa marekani, apple ni kampuni ya kimarekani ukichanganya na u classy na wamarekani wanapenda sana kutumia prodcuts zao basi hilo nahisi ndilo jibu.
Mimi nina iphone 5 mwaka wa 2 sasa lakini mpaka leo samsung zinakuja nakupita still iphone 5 bado deal hata za mkononi hupati chini ya 550 used kwa mtu lakini galaxy s5 nishaona watu wanauza mpaka mpya kwa 550.

nimependa maelezo yako, kwa maelezo haya nimeshawishika kununua iphone6
 
Ni nzuri sana hizi simu ila tatizo ni betri tu na hauwezi kulitoa kama simu nyingine
 
Back
Top Bottom