Swali lako ni general sana mkuu but kulijibu kwa ufupi ni kuwa simu zinazopendwa sana huku TZ ni zenye camera yenye pixel nyingi (above 5), kamera 2, watumiaji wengi ni marafiki na android Os... Ila how affordable is your price affordable?

Acha utakula hasara huku watu hawaangalii ubora. Huku kuna simu aina na aina kutoka china na majina yake ya ajabu ajabu watu wanajiripua tu.
VIWA, TECHNO nk.
Kwa price hiyo utapata soko... Watz wengi wanapenda slope hasa tunao kaa huku uswahilini. Wakishua wana mbwembwe nyingi we lete. Na me ntakua customer wako namba moja.