Smartphone

Smartphone

9f38eefea2a721939f759b82a7d31de9.jpg
Hyo ni Blessings sana mkuu unge-zoom tena
 
Haahah!!, nyie acheni uongo bhana iyo mbna iphone au mnaangalia nini nyie...???
 
Smart yake nzur hatareeeeeeeee.nimeipenda zaidi hapo pa ku-touch jamani mkono wote unaenea.
 
Smart yake nzur hatareeeeeeeee.nimeipenda zaidi hapo pa ku-touch jamani mkono wote unaenea.

Duh.!
Yakhe, naona wewe wapenda vya ku touch tu. . . . . . . . . Ni balaa
 
Naisujaki Hakuna jipya hapo zaidi ya Smartphone dada hayo mengine mbwembwe tu
Smartphone hapo ni red herring tu. Main aim inaonekana!Tusidanganyane eti mengine ni mbwembwe tu! Nyie wanaume mna matatizo mengi mno, nafikiri mpo wengi kwenye wale wenye ugonjwa wa akili.
 
Smartphone hapo ni red herring tu. Main aim inaonekana!Tusidanganyane eti mengine ni mbwembwe tu! Nyie wanaume mna matatizo mengi mno, nafikiri mpo wengi kwenye wale wenye ugonjwa wa akili.

Kwa kweli kama ni ugonjwa wa akili acha tu wanaume wawe nao tu maana wanawake ndo wanafanya wanaume wapate magonjwa haya jamani si unaona mwenyewe hiyo smartphone

Eti we ukiangalia picha yenyewe si imepigwa ili kuwapa ugonjwa wanaume. . . . . . . . . . . . .!

Na nadhani hiyo smartphone iliwekwa hapo makusudi kabisa na bila shaka ilitumika smartphone kupiga picha mi nia yangu ni kuonyesha Umuhimu wa na ubora wa SMARTPHONE, hayo mengine ni mbwembwe tu . . . . . .

Haha
 
Back
Top Bottom