Ndugu wanajamvi jukwaa hili limekuwa ni msaada sana kwangu kwenye mambo mengi
Naitaji maoni na ushauri wenu juu ya hili
Kwasasa natumia SAMSUNG GALAXY ACE(5830i) ila ningependa kuadvance zaidi maana napendelea sim ambayo ni multipurpose kwa maana ya camera+browsing. Nataka simu(HTC, SONY,HUAWEI,SAMSUNG) yenye atleast Ice cream, >4GB internal storage, 8MP camera na budget yangu ni 400,000/ Tsh.
Naomba kuwasilisha kwenu