Smartphone sasa balaa

Hahaha kwani we cm yako ni nokia tochi kma ya katarina 😉😛😛
 
Bora zirudi Sony na Motorola Kidole. Enzi zileee miaka ya 2001
 
Mwee wengine hatupendagi mastory na MTU kwe gari salaam baas nipo bize na sim yangu safari yenye unaona fupi !!

umeona eeeh ingawa unajikosesha fursa ya kupata marafiki, new idea kama safari ni ndefu
 
umeona eeeh ingawa unajikosesha fursa ya kupata marafiki, new idea kama safari ni ndefu

Marafiki nilonao wananitosha wala sitakagi MTU anisumbue .
Ukute mwingine ananuka mdomo sasa akianza kukupigisha story majanga!!!
 
Marafiki nilonao wananitosha wala sitakagi MTU anisumbue .
Ukute mwingine ananuka mdomo sasa akianza kukupigisha story majanga!!!

hahahahhaa lol inatokea lakini ukiona haeleweki unajikita busy
 
Mmh eti ananuka mdomo acha dharau na maringo.
 
heeeee besti kwa hiyo hata mm unanikataa kura rafikiyo?
Marafiki nilonao wananitosha wala sitakagi MTU anisumbue .
Ukute mwingine ananuka mdomo sasa akianza kukupigisha story majanga!!!
 
kuna basi za Dar Mwanza zinaitwa Isamilo humo ndani kuna huduma kabisa ya chaji...yaani watu ni bize na simu tuu
 
yaani mm sasa kama nasafir kwenda mwanza nachat weweeeeee mpaka nafika kwani naona ni bora nichat kuliko kulala usingizi huku ukiota ndoto za mchana
kuna basi za Dar Mwanza zinaitwa Isamilo humo ndani kuna huduma kabisa ya chaji...yaani watu ni bize na simu tuu
 
Technologia za ukubwan wajamen lazma zitupotezee mda kdg khaah kwn akil ya mzungu haijulikan?!
 
hata ikitokea ajari utakuta watu wako bize kupiga picha badala ya kutoa msaada kwa wahanga,mzungu katuteka sana.
 
Hhhhhhhhee nakweli.... kila mtu yupo bz NA ku touch
 
yaani mm sasa kama nasafir kwenda mwanza nachat weweeeeee mpaka nafika kwani naona ni bora nichat kuliko kulala usingizi huku ukiota ndoto za mchana

Nilishawahi pata aibu ya mwaka na ndoto hizo,yaani ukianza kusinzia tuko kwenye bus lazima nikuamshe tu.

Dada mmoja masikini tuko kwenye Zuberi yenye two by two seat sijui usiku katumika,mara akaanza kuniegemea huku amesinzia nikasema isewe tabu,nikamweka ajilaze kwenye mapaja...usingizi ulipokolea mara akaanza...bebie.....na maneno ya chumbani kabisa ....Watu kwenye bus hwaaaaaaaaaaaaaaa!

Sitasahau,sijui mtu kama huyu atatunzaje siri za michepuko kwa mmewe asije kujishitaki mwenyewe masikini
 
Smartphones kama ugonjwa vile kwa waafrika. Naamini tutakuja kuzizoea baadae kidogo.

Hata zinakotoka hawajazizoea. Tena huku ndio kuna balaa maana iternet siyo ya mgawo na mafungu kama huko Afrika. Tena kila mmoja anayo. Kwenye mabasi, kwenye trams, kwenye subways, kwenye bars, pubs, restaurants; biashara ni hiyohiyo tu.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…