L lsn Member Joined Jul 22, 2013 Posts 57 Reaction score 14 Dec 14, 2014 #1 wadau kumekua na maduka mengi yanauza smartphone ambazo sio original. naomba nielezwe ni wapi ntapata original
wadau kumekua na maduka mengi yanauza smartphone ambazo sio original. naomba nielezwe ni wapi ntapata original
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 370,829 Reaction score 858,648 Dec 14, 2014 #2 Kiwandani
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,226 Reaction score 44,223 Dec 14, 2014 #3 ukijenga mazoea kila ukinunua kitu upewe risiti na warranty ya mwaka mmoja basi hata wauza maduka feki watakuogopa. maana siku utayogundua sio unarudi tu na polisi
ukijenga mazoea kila ukinunua kitu upewe risiti na warranty ya mwaka mmoja basi hata wauza maduka feki watakuogopa. maana siku utayogundua sio unarudi tu na polisi