Mbaya zaidi imeongeza maasi, unajua unaweza kuwa na mkeo/mpenzi wako halafu akawa anachati na mchepuko wake mkiwa wote hata kama ni kitandani ?, ukitaka jaribu kumuomba simu mwanamke mara uobnapo yuko busy, aisee hawezi kukpa mara moja atachukua muda na ujue hapo ana delete meseji za ovyo, au anajifanya kukuambia subiri kidogo, ukitaka kumuweza wewe mnyang'anye tu uone alichokuwa nafanya utashangaa