mwarenga amani
Member
- Dec 22, 2014
- 27
- 4
salaam zenu,et naweza pata smart phone gan mpya kwa 120,000
naweza pata smart phone gan mpya kwa 120,000
hivi Lumia ina camera 2?Ongeza 30,000/= ujipatie Lumia 530 kwenye maduka ya Midcom
hivi Lumia ina camera 2?
Ahsante bwana Chief-Mkwawa nadhani nimeipenda hiyo 430 maana itaniwezesha kuskype na kumwona ninaye Skype naye!!moja tu ila nzuri kiasi na pia haina flash.
ipo lumia 430 yenyewe inazo mbili na 1gb ram