Wana assembly au wanatengeneza?kama kuassembly nenda kule Kiwalani kuna wachina wana assembly Simu.Achana na China vuka mpaka Rusumo nenda kigali chukua mzigo wa kutosha simu za smartphones kutoka kiwandani ndani ya kigali, Kahama, mwanza, bukoba, shinyanga kazi kwenu.
Nilivyowaona hao Wahindi hapo,hizo simu zitakuwa Lava Smartphone za Wahindi wanafanya assembling. Nzuri sana lakini bei si rafiki.Nitasapoti cha nyumbani (East Africa)....
Ila ubora ndo wasi wasi aseee[emoji848]
Mkurugenzi wa hio co. Iliyoinvest Mara Co. huko Rwanda amesema only wao in Africa ndio wanafanya manufacturing(parts zaidi ya 1000 per phone),amesema nchi kama ghana/ethiopia wao wana assemble tuNilivyowaona hao Wahindi hapo,hizo simu zitakuwa Lava Smartphone za Wahindi wanafanya assembling. Nzuri sana lakini bei si rafiki.
Itakuwa maajabu ya karne, 1000%?Mkurugenzi wa hio co. Iliyoinvest Mara Co. huko Rwanda amesema only wao in Africa ndio wanafanya manufacturing(parts zaidi ya 1000 per phone),amesema nchi kama ghana/ethiopia wao wana assemble tu
Hivyo ndivyo nilivyokua nimelewa lkn kwa sababu mwl Kashasha umekuja nashukuru kwa ufafanuzi.Itakuwa maajabu ya karne, 1000%?
Kwa hiyo hapo kuna production ya vioo, screw, camera, batteries.....
Wabongo kwa chumvi. Nilichosoma Forbes ni kuwa watakuwa wanafanya manufacturing tofauti na assembling kwa wanavyofanya wengine Africa. Na manufacturing haimaanishi kila parts inakuwa manufactured hapo. Kwanza sio economical viable na haimake sense. Kama ingekuwa ndivyo tungeambiwa ndo kampuni pekee Duniani inayofanya hivyo
Kwani shida ikowapi? Hii ni digital world nayenye digital intelligence. Yani we ungejua kitu chenye high price duniani ni taarifa. You should know that!Izi simu ni kwa ajili ya kufanya ujasusi kwenye nchi za africa. Na pia nina jiuliza what behind the name maraphone?
Unataka wafunge kiwanda?Tunasubiri kile Kiwanda cha Mengi kianze kututengenezea smartphone,napendekeza kwako Mjane Jacklyn ukiwa kama mrithi wa hicho Kiwanda smartphone ya kwanza ipewe jina la Jiwe.
Tunasubiri kile Kiwanda cha Mengi kianze kututengenezea smartphone,napendekeza kwako Mjane Jacklyn ukiwa kama mrithi wa hicho Kiwanda smartphone ya kwanza ipewe jina la Jiwe.
Hilo ni kweli maana simu kama Nokia pia zinatoka India ambazo bei zake mpaka sasa ni moto asee....Nilivyowaona hao Wahindi hapo,hizo simu zitakuwa Lava Smartphone za Wahindi wanafanya assembling. Nzuri sana lakini bei si rafiki.
camera watatuandkia megapixel 45
si washajua shda yetu nini