Kamnunulie baba au mama yako upate thawabu kijana, acha kupoteza nguvu zako kwa girlfriend halafu kesho na keshokutwa mnamwagana unaanza kujuta. Kama ni mkeo sawa lkn siyo girlfriend. Au km vp hiyo hela peleka msikitini au kanisani
Hakuna Smartphone inayokaa na chaji siku mbili 48 hrs toa hiyo fikra.
Samahani wadau, nataka kumnunulia girlfriend wangu simu, lakin sijui nimnunulie simu gani ya smartphone inayo kaa na chaji angalau siku 2, na yenye gharama isiyozidi Tsh 125,000?
Au simu gani nyingine yenye hadhi kidogo isiyozidi hiyo bei?
Asante!
tatu zote hizo unataka kufungua duka?!
Samahani wadau, nataka kumnunulia girlfriend wangu simu, lakin sijui nimnunulie simu gani ya smartphone inayo kaa na chaji angalau siku 2, na yenye gharama isiyozidi Tsh 125,000?
Au simu gani nyingine yenye hadhi kidogo isiyozidi hiyo bei?
Asante!
Kasemajeee vile?
thimati foni eti...............ngoja nikae mkao wakazi hapa nikumpiga chedema tu hizo hela tukalie kachori na ubuyu au wasemaje wewe Mamaafacebook
Zipo hadi siku nne! inategemea matumizi yako tu.Hakuna Smartphone inayokaa na chaji siku mbili 48 hrs toa hiyo fikra.
Ahhhhha ukiulizwa risiti me naogopa manake ntachambwa peupeeeee