Smartphone gani imara kwenye kioo?

Fuqin

JF-Expert Member
Dec 2, 2018
293
596
Wadau mimi ni mtumiaji wa samsung ila nimekutana na kadhia ya kufaa kwa kioo mara kwa mara yaani haizidi simu ikifika mwaka lazima kioo kife labda kwa matumizi yangu inawezekana ikawa sababu ya kuua kioo... sijawahi kutumia kampuni nyengine... msaada kampuni gani ya simu itanifaa??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
zipo nyingi tu mkuu ila bei inakuwa ipo juu vioo vyake vinaitwa gorilla huwa havichubuki wala kupasuka ovyo ni imala sana nimeona sana kwenye sim za htc na sony ata samsung we unapoenda shop uwe unaulizia iyo future ya kioo
 
Wadau mimi ni mtumiaji wa samsung ila nimekutana na kadhia ya kufaa kwa kioo mara kwa mara yaani haizidi simu ikifika mwaka lazima kioo kife labda kwa matumizi yangu inawezekana ikawa sababu ya kuua kioo... sijawahi kutumia kampuni nyengine... msaada kampuni gani ya simu itanifaa??

Sent using Jamii Forums mobile app

D2uS4BdU0AA5y2o.jpeg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom