Ni kwaajili ya browsing tu kaka. My side kick (nokia tochi) imeharibika ndio am in quest ya kwena kutafuta nyingine kesho, so with my limited badget naangalia kama naweza kupata a nice phone kwa hiyo price. Kwenye inauzwa.com nimeona n73 iko inauzwa kwa 80k ila kama I may get a better deal itakua poa sana!