Smart911 Kufunga Mwaka na Kasinde. ....

Status
Not open for further replies.
Aisee Hawa Wakuu wanajuana Kumbe tena Wanajuana sanaa .. Waombane Msamaha walipo teleza Make huku wanakoelekea kuna Mmoja atadharirika Muda si Mrefu hili Jambo siyo la Kuliacha...
usiwe mgeni na jf, wakizidiwa wanatunga story ili wampunguze makali mpinzani
walete ushahidi kama wanao
nipo jf more than 5 yrs hiki kimbinu nakijua vizuriiiii
 
we si bingwa wa matusi, leo nipo live kujifunza matusi mapya from your dictionary, ban unaiogopa shujaa wa matusi ban kitu gani bana

Hahaha wewe mzuri

my ribs hahaha unafaa kutengeneze kachumbari gani tena?

wazuri walijengewa bustani inayoelea, wakapewa nchi ya misri

wewe mzuri umepangiwa nyumba ya kupanga ukapewa na LED flatscreen, meza ya kioo na sabufa na kapeti chini hahahah poor brenda

umetumika umechakaa alafu unajiona mzuri hahaha ata bibi akikuwa miss akawa madame aka missus aka ajuza leo ata mambo hapati hahaha mzuri wewe

haya wazuri bana siku hizi wakiendaga chooni hawatumii maji, hawanukagi mvundo hahaha eti mimi mzuri my ribs spare them...

kweli wanaume wabaya nimeamini sio kwa kuleta UTI maana akitoka nyumbani anakuwa mwanaume akirudi nyumbani anakuwa mume

poor brenda
 
Aisee Hawa Wakuu wanajuana Kumbe tena Wanajuana sanaa .. Waombane Msamaha walipo teleza Make huku wanakoelekea kuna Mmoja atadharirika Muda si Mrefu hili Jambo siyo la Kuliacha...
Sterling akifa movie imeisha. Halafu sisi tuwatch nini mkuu?
No retreat no surrender
 


Vizuri uje naushahidi sio mambo ya kufikirika tu
 
Mpaka nimemkumbuka marehemu ibra ndio mabest zake hao
nawaona kabisa haya mambo mimi nilishapitia hapa wanafanya marudio ya zamani sana,
sijaona wa kunisumbua zaidi naona matusi yameisha wanatunga story ili niogope, uwiii brenda haogopi kitu humu halishwi na mtu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…