Smart911 Kufunga Mwaka na Kasinde. ....

Status
Not open for further replies.
 
Jamani hadi wewe maana unapenda kupitaga ila hapa naona umebidi usimame unyooshe shingo usikizilie oohhh utakuwa shingo twiga

karibu kitu mpendwa
Looh nimesimamishwa na umbea nashushia hap
 
we sio mzima
 
Saint Ivuga Maserati Shunie emmyta @ukyuti

nyie chekeni na mfurahi maana shoga/rafiki yenu Paprika naye kaburi lake lishafukuliwa. Memba mmoja alikuwa anafunguka kwamba eti paprika alikuwa anaiba soksi kwao anampelekea ex, anapika maandazi anampelekea ex n.k
huyu memba kweli kafukua kaburi la zinjathopus. Eti kweli paprika alishawahi kuiba sokso akampelekea ex?

Hawa ma ex hawajawahi kuwaacha watu salama

Eli79 Kaboom na Saint Ivuga msitutoe kwenye focus. Hapa ni sherehe ya mahondaw na smart
 
Nishafika hapa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…