Smart911 Kufunga Mwaka na Kasinde. ....

Status
Not open for further replies.
Sijui kafikilia nini kuniulizia huyo chizi ata kwenye thread huwa siendi hata kulike

Hahaha tena chizi mdogo wangu sema yupo kwenye ban akirudi ohoooo utamtambua.

Huyu mtoto ananifurahishaga sana yaani akiona id ya kike lazima aipumzikie, sijui anajuaga kuna watoto humu.

Napendaga anavyokuzinguaga mpaka unakuwa speechless

kweli umbea haujawahi kuniacha salama
 
Na huwa simjibu huwa nadili na mods tu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…