Huu uchochezi sio wa nchi hii jamaniJibu lako hilo apo chini
Na mimi nilihisi Smart911 ni silent maana kwenye mabandiko humu za kwake ilikuwa INASIKITISHA SANA CC MAHONDAW
kumbe anajua kucheza na akili ya mahondaw i.e asitaje dhambi zake maana wanawake kwa kufuatilia vitu hawajambo, mara inasikitisha kumbe bibi mahondaw anafichwa haya sasa leo bomu limelipuka
nasubiria bandiko kuna mtu kaniharibia out yao uje ushangaa ubuyu unamwagika madhabauni
Enheee.. ..??Aisee
labda sio Ivuga huyo we kila siku lazima unikere
Mara leo umeita watu pm mara umemwambia akukiss
Aisee umbea hapa kazi.acha umbeaa
Naona mna undugu na Mange
Sijaiona...Basi shemelaaaaaaaa. Ila signature yangu uneiona au hujaionaaaaa?
Ngoja niongee na mods niinusuru hii ndoa changa
Aiseee.. Kumbe alikuwa anamsikitikia mwenzake mahondawJibu lako hilo apo chini
Na mimi nilihisi Smart911 ni silent maana kwenye mabandiko humu za kwake ilikuwa INASIKITISHA SANA CC MAHONDAW
kumbe anajua kucheza na akili ya mahondaw i.e asitaje dhambi zake maana wanawake kwa kufuatilia vitu hawajambo, mara inasikitisha kumbe bibi mahondaw anafichwa haya sasa leo bomu limelipuka
nasubiria bandiko kuna mtu kaniharibia out yao uje ushangaa ubuyu unamwagika madhabauni
Na kweeli... Sio kwa kufukua hukoooTeh! Dada binamu
Nakuonaa nakuonaaaAisee umbea hapa kazi.
Yaani kama shule mi ndio headmaster
Hahaha
Yaani wewe nakugawa bure ujue
HongeraEnheee.. ..??
Acha hizo bhanaNgoja niongee na mods niinusuru hii ndoa changa
Ohoo ulikua hujui eeh me kila post yake naifuatilia