Kwako Kasinde:
Tangu tuwe wapenzi tumependana kikweli pendo letu la moyoni Kasinde...
Mioyo yetu tusibadili wangu kipenzi Kasinde tuepuke ushauri Kasinde...
Na mahasidi wa penzi o Kasinde...
Wa mahasidi wa penzi mpenzi Kasinde...
Na mahasidi wa penzi o Kasinde...
Wa mahasidi wa penzi mpanezi Kasinde...
MV Mapenzi Meli ya wapendanao
Moyo kama Bahari Manahodha mimi na Wewe
Duniani kuna mengi sawasawa na Bahari
Kuna Papa na Nyangumi tena wale wa hatari.....
Hawapendi kuiona Meli yetu baharini
Watafanya kila njia waifupishe Safari...
Ukipata muda leo, njoo Mahaba Beach, Ununio... Evening for Dinner...