Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,801
- 43,177
Habari za jioni mabibi na mabwana wa MMU,
Kasie huyuhuyu mnayemjua na kumuona humu JF propozo imemdondokea na ameafiki kusheherekea sikukuu za Christmas na mwaka mpya akiwa na Smart911 na hii ndo muendelezo kwa kipindi chote cha mwaka 2017.
Yule jamaa wa we like to party from Wednesday to Friday ndo huyu Smart911 sasa nimekuweka wazi kwenu.
Jana tulikutana karambezi pale sea cliff na tuliondoka hapo sea cliff mchana wa leo yeye akirudi kwake nami nimerudi kwangu.
Kila mtu anajipanga kwa ajili ya safari ya kwenda kusheherekea the festive season. Tutaondoka tarehe 23 na tutakuwa na vituo vingi tuu.
Kiukweli Smart911 amenikosha roho na amenifumba macho sioni kwingine kokote wala sisikii sauti nyingine yoyote zaidi yake. Mmmh si kwa mautamu niliyopata jana acheni tuu.
Kwa nafasi hii nawatakia wana MMU wote heri ya sikukuu ya Krismasi na mwaka mpya. Asiye na wake aeleke jiwe au mgomba. ..
Peace and Love.