Smart tv rebooting problem

Smart tv rebooting problem

baghozed

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2011
Posts
532
Reaction score
97
Wadau nina shida na hii tv samsung LED smart tv UE22ES5400W Ina tabia ya kujizima na kujiwasha kila mara na kuna kipindi inaonyesha bila kujizima sasa kabla ya kwenda kwa mtaalam nilikuwa naomba ushauri wenu
 
MKUU keaushauri wangu mm nenda kwenye workshop za Samsung kama upo dar itakuwa powa sana.

coz hata mm nilikuwa na TV ya flat sanyo inatatizo kama lako. mm ilikuwa unaangalia gafla inajizima unakaakidogo inajiwasha.
some times ukiwasha inatoa tu sauti ukikaa kidogo ndio inaanza kutoa picha .
jinsi mda ulivyokuwa unazidi ndio ilivyokuwa inazidi kuharibika.
mpaka ikafikia kipindi ikafa kabisaaa no picha no sound.

kwaushauri wangu MKUU achakuitumia ipeleke kwa FUNDI co ukiendelea kuitumia unaongeza ukubwa wa tatizo.
 
Poa kaka ngoja nitafute hao samsung walipo
 
Kama upo dar nenda k/koo round obut pale unaenda stand yanapopaki magari ya mbagar upande huo huo utaona kunajengo gorofa ya rangi nyeupe inamaandishi ya Samsung .
 
Ok nshapafahamu ndugu na asante kwa msaada wako
 
Ndugu LEGE nilipeleka hii TV hapo uliposema na imepona,nashkuru kwa msaada wako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom