ni smile au smart?dah! Hawa jamaa wako vizuri asee. Kwa wale wa 'mahaba niue' huu ndo mtandao wenyu banah! Unaongea kwa 79sh then mpaka sim iishe chaj au sikio liume. Yaani hapa nilipo tokea nimempigia wifi yenyu jana sijakata simu. Tunaongea kama tupo pamoja wajameni.
Karibuni sana wenzangu wa 'mahaba niue'
Wewe unachinja ng'ombe na badala ya kuwapa watu nyama, unawapa mkia.Smart nini? Iko wapi? Imeanza lini? Usiandike habari ukafikiri kila mtu anaifahamu!dah! Hawa jamaa wako vizuri asee. Kwa wale wa 'mahaba niue' huu ndo mtandao wenyu banah! Unaongea kwa 79sh then mpaka sim iishe chaj au sikio liume. Yaani hapa nilipo tokea nimempigia wifi yenyu jana sijakata simu. Tunaongea kama tupo pamoja wajameni.
Karibuni sana wenzangu wa 'mahaba niue'
ndio hao hao, BOL ndio Smart; by the way last time I checked inafanya kazi kwenye smartphone peke yakeSmart ndio upi,BOL au mwingine?
ndio hao hao, BOL ndio Smart; by the way last time I checked inafanya kazi kwenye smartphone peke yake
ndio hao hao, BOL ndio Smart; by the way last time I checked inafanya kazi kwenye smartphone peke yake
ni smile au smart?
Hapana ndio hao hao hata mimi mwanzo nilidhani tofauti (sababu mpaka sasa website ya BOL ipo) ila nasikia walitoa na matangazo kwamba BOL is now SMART kwahio ndio wale waleBOL ndio SMART I thought ni mitandao miwili tofauti
Hapana ndio hao hao hata mimi mwanzo nilidhani tofauti (sababu mpaka sasa website ya BOL ipo) ila nasikia walitoa na matangazo kwamba BOL is now SMART kwahio ndio wale wale
Hapana ndio hao hao hata mimi mwanzo nilidhani tofauti (sababu mpaka sasa website ya BOL ipo) ila nasikia walitoa na matangazo kwamba BOL is now SMART kwahio ndio wale wale