DCONSCIOUS JF-Expert Member Joined Oct 4, 2010 Posts 1,269 Reaction score 473 Oct 6, 2013 #1 wakuu nina laptop dell N5050 kila niki update hii driver inagoma , hivyo naomba msaada kwa yoyote mwenye ujuzi au link au hata mwenye nayo anisaidie niweze kuipata.
wakuu nina laptop dell N5050 kila niki update hii driver inagoma , hivyo naomba msaada kwa yoyote mwenye ujuzi au link au hata mwenye nayo anisaidie niweze kuipata.
Babchabi JF-Expert Member Joined Nov 10, 2012 Posts 1,745 Reaction score 777 Oct 7, 2013 #2 ingia katika site hii utapata driver zote ukishindwa kutumia nicheki katika pm nikufahamishe DriverPack Solution >> Download drivers installation software
ingia katika site hii utapata driver zote ukishindwa kutumia nicheki katika pm nikufahamishe DriverPack Solution >> Download drivers installation software
JuaKali JF-Expert Member Joined Nov 14, 2007 Posts 776 Reaction score 119 Oct 7, 2013 #3 Nenda www.dell.com, kwenye support / for home halafu tafuta model ya computer yako, download intel chipset, itaondoa tatizo lako.
Nenda www.dell.com, kwenye support / for home halafu tafuta model ya computer yako, download intel chipset, itaondoa tatizo lako.