Case hii imenikuta mimi na inawezekana na wewe pia unakutana nayo na usijue tatizo lipo wapi!
Siku za nyuma kidogo nilikuwa natumia PC ambayo ilikuwa na Windows 7 - 32 Bit na internet ya PD Proxy. Everything was fine on my side. Nilikuwa napata speed kubwa ya ku-download kama ambavyo modem yangu ingeweza ku-support (huawei e303)
Baada ya muda kidogo, ile PC ilikuwa hainifai tena kwa hiyo nikanunua PC nyingine which was a bit powerful, it had 64-bit processor & 6GB Ram. Kutokana na kwamba PC yangu sasa ilikuwa na uwezo, nilichukua uamuzi wa kuweka windows 7 64-bit edition.
Baada ya kuweka version hiyo ya windows 7, kilichofuata hapo niliifanyia configuration za pd proxy and I could again connect to the internet as I used to.
Internet ilikuwa vizuri kwa ajili ya ku-surf kwenye browser tu. Tatizo lilikuja kwenye downloads, the speed was very low hata nikiwa natumia IDM. Nilikuwa na-download for as low as 50KB/s. Nilijaribu kutafuta solution huku na kule bila mafanikio hadi pale nilipogundua kwamba lilikuwa tatizo la Microsoft wenyewe.
Kwenye 64-bit edition ya Windows 7, Microsoft wame-overlook settings za internet options, na cjui kwa nini hawajatoa fix kwa tatizo hilo.
So here is the solution if you are experiencing the same problem:
Nenda kwenye Control Panel > Network & Internet > Internet Options > Connections > LAN Settings.
Wakati upo kwenye LAN Settings, Untick all options kama ilivyooneshwa kwenye snapshot hapa chini then press OK. You should be good to go.
I applied the same solution and Now I am getting full speed internet access as I used to get in 32- bit edition. This solution also works fine if you are using LAN from the office.