Attainer Jr JF-Expert Member Joined Mar 22, 2019 Posts 440 Reaction score 834 Jun 28, 2019 #1 1.Nini maono ya hili tabaka linalopelekea kuharibu vijana wengi wakike. Na kwa namna ipi tuwasaidie watoke kwenye hili tabaka maana wapo wengi sana kwa sasa
1.Nini maono ya hili tabaka linalopelekea kuharibu vijana wengi wakike. Na kwa namna ipi tuwasaidie watoke kwenye hili tabaka maana wapo wengi sana kwa sasa
FatherOfAllSnipers JF-Expert Member Joined Mar 13, 2019 Posts 1,709 Reaction score 4,508 Jun 28, 2019 #2 Ili kumsaidia, mchukue na umweke ndani!
abdi ally JF-Expert Member Joined Dec 4, 2018 Posts 1,563 Reaction score 2,170 Jun 28, 2019 #3 Father of all Snipers said: Ili kumsaidia, mchukue na umweke ndani! Click to expand... Wakishazoea uslay queen huwez kumuweka ndani waache waendelee kudanga tu Ushaona wapi samaki akaishi nchi kavu
Father of all Snipers said: Ili kumsaidia, mchukue na umweke ndani! Click to expand... Wakishazoea uslay queen huwez kumuweka ndani waache waendelee kudanga tu Ushaona wapi samaki akaishi nchi kavu
Attainer Jr JF-Expert Member Joined Mar 22, 2019 Posts 440 Reaction score 834 Jun 30, 2019 Thread starter #4 Father of all Snipers said: Ili kumsaidia, mchukue na umweke ndani! Click to expand... Hapo ni hatari maana ataleta maisha ya kuigiza, malengo ya kujenga familia hayatakuwepo
Father of all Snipers said: Ili kumsaidia, mchukue na umweke ndani! Click to expand... Hapo ni hatari maana ataleta maisha ya kuigiza, malengo ya kujenga familia hayatakuwepo
Attainer Jr JF-Expert Member Joined Mar 22, 2019 Posts 440 Reaction score 834 Jun 30, 2019 Thread starter #5 abdi ally said: Wakishazoea uslay queen huwez kumuweka ndani waache waendelee kudanga tu Ushaona wapi samaki akaishi nchi kavu Click to expand... Ni kweli kabisa mkuu, ile ni dosari tayari
abdi ally said: Wakishazoea uslay queen huwez kumuweka ndani waache waendelee kudanga tu Ushaona wapi samaki akaishi nchi kavu Click to expand... Ni kweli kabisa mkuu, ile ni dosari tayari
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,628 Reaction score 197,295 Jun 30, 2019 #6 Mambo yao waachieni wenyewe... Huna cha kuwasaidia ndiyo maisha waliyochagua... Cc: mahondaw
Daughterrr JF-Expert Member Joined Jun 27, 2019 Posts 477 Reaction score 585 Jun 30, 2019 #7 Attainer Jr said: 1.Nini maono ya hili tabaka linalopelekea kuharibu vijana wengi wakike. Na kwa namna ipi tuwasaidie watoke kwenye hili tabaka maana wapo wengi sana kwa sasa Click to expand... samahan kwani slay qeen ni mtu gani?
Attainer Jr said: 1.Nini maono ya hili tabaka linalopelekea kuharibu vijana wengi wakike. Na kwa namna ipi tuwasaidie watoke kwenye hili tabaka maana wapo wengi sana kwa sasa Click to expand... samahan kwani slay qeen ni mtu gani?
mumewanguu JF-Expert Member Joined Mar 2, 2018 Posts 261 Reaction score 259 Jun 30, 2019 #8 Slay queen ndo wanyama gani hao