Slaa: Tutashinda kwa zaidi ya 80%

Slaa: Tutashinda kwa zaidi ya 80%

Naamini hakuna chama kama ccm kwa maoni yangu chadema wangemsimamisho zitto agombee kiti cha urasi ata mimi nitamuunga mkono na anaweza akaibadilisha nchi.
Yaani mwana CCM awe na mapenzi na CHADEMA!...haya ni maigizo na hapa ndipo ninapozidi kuamni kwamba Dr Slaa ni hatari kwa CCM na siyo Zitto Kabwe.
 
o
Kmsingi nafurahishwa na habari hizi, ila nashindwa kukubaliana na wewe kwamba mkazi wa Arumeru Mashariki mwenye umri wa zaidi ya miaka 70 anaweza akawa anaelewa maana ya (80%).

Kwani Mkapa ana miaka mingapi? Au elimu imeingia Meru majuzi? Aisee kwa ushauri watake radhi watu wa Meru.
 
Akihojiwa na Mwanakijiji katibu mkuu wa Chadema amesema wanatarajia ushindi wa kimbunga wa zaidi ya asilimia 80% kwa vile ana uhakika hakuna hata kura moja itakayoibiwa.

hapana shaka kabisaa.....chadema watashinda uchaguzi kwa kishindo.

shida ipo kwenye kutangazwa kuwa ni washindi wa jimbo!
 
Akihojiwa na Mwanakijiji katibu mkuu wa Chadema amesema wanatarajia ushindi wa kimbunga wa zaidi ya asilimia 80% kwa vile ana uhakika hakuna hata kura moja itakayoibiwa.

Iwapo kura zaidi ya 80% atapiga yeye...
 
Tungalie sana mbinu za uizi wa kura hapa chini.

1 Kupiga kura zidi ya mara moja: Bandika wino usiotoka (Ukitoka je)
2 Gawa shahada kwa wasio husika: Mawakala kuwagundua kwa sura
3 Kugawa karatasi zaidi ya moja kwa mpiga kura: Wakala kuwa makini
4 Kutumbukiza kura katika box kabla ya kufunga
Kufunga kituo: Wakala akihongwa anakubali. (Sijui hapa watafanya nini)
5 Mpiga kura anaweza kuingia na karatasi nyingi za kura alizopigia nyumbani. Hii hutumika sana kama masanduku ya kura yakiwekwa kwenye vizimba. (Tunazibiti vipi)
5 Tuwe makini na hizi Ambulance zinazokpita pita kila mara haswa wakati huu wa Uchaguzi (Tafanyeje sasa)

6 Kutumia nguvu kuwatisha mawakala, kuchakachua (Nini kifanyike), hii inaweza ikawa katika vituo vya kupigia kura, wakati wa kusafirisha masanduku na wakati wa majumuisho. (Hapa naona ipo kazi, labda mawakala wa nguvu wasioogopa MG)
7 Kuwahi sana kupiga kura na kuwaacha mawakala peke yao katika vituo (hapa inakuwaje?)
8 Segerea style, kukimbia na masanduku ya kura. Hapa panahitajika escot ya nguvu sana, bila hivyo sijui. Bodaboda wanaweza hii kazi.
9 Je Magari ya Jeshi yanaweza kutumika, Basi tume ipate ma MP ili kushirikiana na wananchi wenye wasiwasi.
10
kuanzisha vurugu kituo cha kupigia kura hasa mida ya jioni. (Kuabakia katia vituo m 103 hadi kura zinapoondoka)
11 Karatasi ya kupigia kura huchanwa kwenye kitabu: Kwa maana hiyo idadi ya kura zinazopigwa ni lazima iwiane kwa idadi na serial namba za karatasi, itakayokosekana kwenye kishina cha kitabu si kura halali. mawakala wahesabu idadi ya karatasi zilizotumika, wawianishe kwenye vishina wakati wa kuhesabu.
12 kutumia chupa za chai na hotpot za vyakula.
(Zinapoletwa kwa mawakala zisachiwe)
13 Kuwapotosha wapiga kura kwa taarifa za uongo siku ya kupiga kura. (Tumienin mawakala kupata taarifa sahihi)
 
Back
Top Bottom