Akihojiwa na Mwanakijiji katibu mkuu wa Chadema amesema wanatarajia ushindi wa kimbunga wa zaidi ya asilimia 80% kwa vile ana uhakika hakuna hata kura moja itakayoibiwa.
Akihojiwa na Mwanakijiji katibu mkuu wa Chadema amesema wanatarajia ushindi wa kimbunga wa zaidi ya asilimia 80% kwa vile ana uhakika hakuna hata kura moja itakayoibiwa.
liyepita Arumeru anajua kwa uhakika juu ya hilo!...
Pamoja na matuc yote ya Kibajaji haakuna mabadiliko hata ya milimita moja!...huh!
mila ya wameru inamkataza siyoi kujihusisha na mchakato huu kwa sababu bado yupo kwenye maombolezo.Kumbuka watu waliomchagua Kikwete kwasababu ni mweupe waweza wakawepo pia Arumeru wakamchagua Sioi kwasababu kafiwa na baba yake mzazi, ni kuongeza tu nguvu za kupunguza kundi la watu wa aina hii.
wameru hawatasubiri kulalamika!Baadae tusisikie lawama kuwa mmeibiwa kura.
Kmsingi nafurahishwa na habari hizi, ila nashindwa kukubaliana na wewe kwamba mkazi wa Arumeru Mashariki mwenye umri wa zaidi ya miaka 70 anaweza akawa anaelewa maana ya (80%).what a coincidence?nilimuuliza mkazi mmoja wa meru akaniambia ushindi wa cdm ni aslimia zaidi ya 80.
Aliyetoa kauli hii ni mwanaume mwenye umri wa zaidi ya miaka 70.