SLAA,this bunge is not a serious bunge!

commonmwananchi

JF-Expert Member
Mar 12, 2011
3,377
1,952
Ameyasema hayo leo wakati akiongea na waandishi baada ya kikao cha maridhiano kati ya NCCR na CDM,
Amelaani kitendo cha bunge kuahirishwa ili kuwapa nafasi wabuhge wa ccm kuonana na rais kikwete kujadili posho za wabunge,leo mjini Dodoma,
Source,star tv habari saa mbili usiku leo 06/02/2012.
 
napia amesema haiwezekani wabunge wang'ang'anie kulipwa laki 330000 kwa siku uku daktari anayetaka kulipwa elfu 40 kwa siku kutoka elfu kumi kuwa ngumu kwa serikali hili ni jambo la kusikitisha
 
Ameyasema hayo leo wakati akiongea na waandishi baada ya kikao cha maridhiano kati ya NCCR na CDM,
Amelaani kitendo cha bunge kuahirishwa ili kuwapa nafasi wabuhge wa ccm kuonana na rais kikwete kujadili posho za wabunge,leo mjini Dodoma,
Source,star tv habari saa mbili usiku leo 06/02/2012.
ujira wa mwia uongezwe hadi laki tano atalaani kweli kauli hii.
 
Ushauri wangu, kuna majimbo yako wazi........akagombee kuongeza chachandu..........
 
Bunge kweli lipo lipo tu,kila mmoja anahangaika na maisha yake,lakini ole wao waliotusaliti kwa kushindwa kutetea yale tuliyowatuma, 2015 si mbali upnga mkali wa kuwanyima kura utawashukia bila huruma.
 
Back
Top Bottom