Maandamano ndio yananunua tumbaku?
Wanachadema sasa wana uchizi! Unaugua malaria unaenda kwa mwanasheria!

Poleni sana wana ccm,yaani nyie ndiyo Mukama kawaleta kujibu hoja za Cdm,loh!POLENI SANA!Maandamo yamepelekea JOSEPHINE kupata 7.5 m kwa mwezi!
Sio mimi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Maandamano ndio yananunua tumbaku?
Wanachadema sasa wana uchizi! Unaugua malaria unaenda kwa mwanasheria!
Huku TABORA wakulima walio katika vyama vya ushirika 18 wamegoma kuuza TUMBAKU YAO mpaka bei itakapopanda.Hamjambo wana jamvi
Naomba kuchuka nafasi hii kumuomba dr W.P.Slaa akiweza kabla ya kondoka songea awe ametoa tamko juu ya kushuka kwa bei ya tumbaku inayo muumiza sana mkulima.
Kwa kulinganisha na gharama za uzalishaji mkulima atapunjika sana kwani bei imeshuka kwa karibu 40% serikali imekalia kimya swala hili na mkulima amekosa pa kwenda hivyo nakuomba dr katika maandamano ya leo hoja ya kushuka kwa bei ya tumbaku ijumishwe.
Nawasilisha
Maandamano ndio yananunua tumbaku?
Wanachadema sasa wana uchizi! Unaugua malaria unaenda kwa mwanasheria!
Maandamo yamepelekea JOSEPHINE kupata 7.5 m kwa mwezi!
Sio mimi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Maandamo yamepelekea JOSEPHINE kupata 7.5 m kwa mwezi!
Sio mimi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!