Mzee mwenzangu, kinyume na watu wengine wanavyofikiria tarehe tano niliichagua kwa mambo yangu mwenyewe bila ku coordinate na mtu mwingine yeyote. Sijui Slaa anafanya au kupanga nini kama vile nisivyojua watu wengine wanafanya nini. Napanga na kufanya mambo yangu kwa mipangilio yangu mwenyewe. Hilo la Slaa na ACT na miye nimelisoma leo asubuhi nilivyoamka. Sijui ukweli wake au usahihi wake.
MMM