aaah Nyani Bado, nataka nimdondoshee mgombea wangu , anayenihakikishia kuwafikisha kina Shimbo kwenye Mkono wa SHERIA, kina RA mahakamani , kina MANJI Na wezi wengine, huyu ni mgombea alie Tayari kufa kutetea wanyonge wa Jamhuri hii, huyu ni shujaa wa nafsi yangu, mpenda maendelea Hasa, huyu ni siri yangu.
Wapo wachache ambao hawatafurahia elimu bure kwa sababu wana mabilioni ya EPa so shule za kulipia zinawasidia kuzipunguza. ili kupiga kura, bonyeza hapa. MAJIRA: GAZETI HURU LA KILA SIKU; Ahsante sana