Elections 2010 Slaa moto chini

Nani anafaa kuwa Rais wa Tanzania - 2010 -2015
Willibrod Slaa (CHADEMA) 1480 70.2%
Jakaya Mrisho Kikwete (CCM) 479 22.7%
Ibrahim Lipumba (CUF) 128 6.1%
Hashim Rungwe (NCCR-Mageuzi) 11 0.5%
Mutamwenga Mugahywa (TLP) 9 0.4%

wera weraa weraaaa
 
we si ushapiga kura

aaah Nyani Bado, nataka nimdondoshee mgombea wangu , anayenihakikishia kuwafikisha kina Shimbo kwenye Mkono wa SHERIA, kina RA mahakamani , kina MANJI Na wezi wengine, huyu ni mgombea alie Tayari kufa kutetea wanyonge wa Jamhuri hii, huyu ni shujaa wa nafsi yangu, mpenda maendelea Hasa, huyu ni siri yangu.
 
Back
Top Bottom