Zawadi Ngoda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 4,367
- 2,407
Yapi mbona hujayataja tuya digest?Let's put aside the enemity for awhile and walk our walk as tanzanian, as society of common good.,as civilised and responsible citizens...,kikwete kafanya hili halina ubishi.,sio propaganda..,hakuna changa la macho katika vitu ambavyo vipo tunakanyaga na tunaviona kwa macho yetu..,bahati mbaya tumesimamia makosa machache na kusahau wema mwingi tuliotendewa.,kwa haya yaliyobaki tushirikiane nae tuyakamilisha badala ya kuyabeza ilihali tunajuwa kuwa ni ya msingi na yanaleta na yataleta tija katika taifa hili...!
Zawadi Ngoda,
Pengine wewe hujui Siasa zaidi ya kusomma hiki kijiwe cha JF. Unaandika mengi kwa fikra zako kuliko kuwa na utafiti wa kutosha halafu pia huna takwimu zinazoweza kuhakikisha maneno yako. Zaidi ya yote haya inaonyesha hofuy yako kuingia kwa Dr.Slaa ktk Uchaguzi huu kwa sababu hali iliyopo leo kisiasa haijawahi kutokea hata ule wakati wa Mrema haikufikia wananchi kuwa na mwanga mkubwa kiasi hiki.
Labda nikuulize wewe unayejua zaidi, Je, Chadema wangekuwa ktk hali gani kama Dr. Slaa asingegombea?
Huu ni ushabiki! Kikwete huwezi linganisha na Mkapa hata siku moja! Achana na vitu vidogo kama mambo ya vibaka na siasa senu za uzandiki! Taja vitu hata kimoja tu alichofanya Kikwete miaka 5 iliyopita. Mkapa kajenga uwanja, barabara, ali control mfumuko wa bei na uchumi ulikuwa stable, japo aliiba sana na kuuza nchi Nashangaa leo anatuambia tukatae utumwa wa Wamagharibi
Huyu msanii wako tuichoambulia ni smile, katembea mpaka Hollywood, katembeza bakuli kazi hataki kufanya, mfumuko wa bei kila kitu kiko juu! Kiwango cha ufaulu kimeshuka na hiyo migofu yenu ya shule za kata. Hivi ulishaona wapi umemkamata mwizi unamwambia rudisha tu halafu uondoke! Mwizi? tena wa mabilion! Sheria iko wapi? Mafisadi yanajinafasi mitaani! Kwa ufupi kama lipo hata moja la kusifia ningefanya hivyo!
Kwani unafikiri uongo?? Tayari ishakuwa coordinated, nyie mnaishi kwenye ujima!!Haha Slaa fixi tu, nilimsikia jana ati akichaguliwa ataleta high speed train, Mwanza-Dar in 3 hours... Msanii tu
Kama kura za uraisi zingekuwa zinapigwa kupitia mtandaoni na kujumuisha wapenda mtandao tu, na hasa kama JF ndio ingekuwa ni kituo pekee cha upigaji kura, basi Slaa angeshinda kwa kishindo. Hilo lingewezekana kama tu tungefikiria kuwa idadi ya wapiga kura wote Tanzania hawazidi elfu 10.
Lakini hiyo ni ndoto tu kwani hali halisi ni nyingine kabisa katika viwanja vya mpira kule Ulyankuru, Sekenke na maeneo mengine yafananayo na hayo Tanzania. Kiujumla tamko sahihi ni kwamba, Kikwete ni mzito sana kwa Slaa. Slaa angegombea wakati wa Mkapa ungekuwa wakati Muafaka, lakini safari hii kajiua kisiasa au pengine kakiua chama kizima kisiasa. Lau kama angesubiri mpaka 2015 angeweza kuambulia chochote, lakini kushindwa kwake mwaka huu kutamshushia hadhi yake hata 2015 kama ilivyokuwa kwa Mrema 1995 na kulamba dume 2000.
Kuna sababu tatu kuu zitazomuangusha Slaa; Kikwete kamaliza matatizo ya kimsingi ya Mtanzania ikiwa pamoja na usalama wa Raia na mali zake. Pili matatizo ya ujambazi yaliyokuwa yanawakera watanzania tokea Boko mpaka wasafiri wa mabasi mikoani ameyaondoa kabisa. Tatu kaondoa tofauti za wananchi kivyama au kaviunganisha vyama kwa kuelewa kuwa mpinzani wako si adui yako bali ni rafiki yako unayoweza kukaanaye na mkala sahani moja. Kuchaguliwa kwa akina Kabwe kushiriki katika kamati ya madini ni moja ya miujiza aliyoifanya Kikwete. Hata akisafiri haishi kuwachukua wapinzani katika misafara yake huko Ughaibuni. Sijakueleza maswala ya Muafaka alivyoyapeleka mpaka kafika kituoni BILA HATA VIONGOZI WA WAPINZANI KUTIWA NDANI. Kifupi hakuna mpinzani aliyetiwa ndani mwaka huu. Uhuru wa kusema ndio sikwambii, hata akina zawadi Ngoda eti leo wanaandika bila woga wowote ule.
Hayo na mengine mengi, yamefanya hata uchaguzi wa mwaka huu kutokuwa na mfuto sana, kwa kila mtanzania anajua kuwa katika nafasi ya uraisi Slaa ni msindikizaji tu. WanaCHADEMA wote wanafahamu kuwa hapo wamepoteza kiti cha Ubunge, na hii itawagharimu sana CHADEMA SIKU ZIJAZO.
Panga pangua, Slaa hawezi kushinda kwa vile zaidi ya kujiita Dr hana sifa kama zile za Kikwete. Kikwete kashika nafasi nyingi serikalini na jeshini, je Slaa ana nini la kutuambia. Kutosoma alama za nyakati ndiko kulikompotosha Slaa au CHADEMA kwa ujumla. Washauri wake hawakumchagulia wakati muafaka kwake kugombea uraisi. Pengine wamemtosa kistile. Mkaidi hafaidi mpaka siku ya IDD, lakini je siku ya Idd kwa Slaa imefika? Hilo ni swali ambalo kila mwana CHADEMA ajiuliza.
Sasa hapa ndipo unapoonyesha rangi zako na kuuficha ukweli wote ulofikiria umeandika..Hakuna mtu anayejilaza isipokuwa kila anayeandika hapa anakuja na mawazo ambayo anaweza kuya back up na data au utafiti alofanya, sii mahala pa kuandika pumba ukafikiria Ushabiki zaidi. Au hayo majini ya Sheikh Yahya ndio umeona mtandao tosha maanake watu kama nyie hamkosi kuamini majini ndio yanalinda usalama wa wananchi.Mwaka huu hakukuwa cha Mbowe, Slaa wala Silaha ambaye angeisetiri CHADEMA. Pengine kidogo huyo Kabwe kwa ukijana wake (sio sera) angevutia vijana ambao ni wengi miongoni mwa wapiga kura. Hata hivyo angepata labda 20% ya kura zote.
Mwaka huu ni hatari, nyie jiliwazeni tu katika huu mtandao!!
Sasa hapa ndipo unapoonyesha rangi zako na kuuficha ukweli wote ulofikiria umeandika..Hakuna mtu anayejilaza isipokuwa kila anayeandika hapa anakuja na mawazo ambayo anaweza kuya back up na data au utafiti alofanya, sii mahala pa kuandika pumba ukafikiria Ushabiki zaidi. Au hayo majini ya Sheikh Yahya ndio umeona mtandao tosha maanake watu kama nyie hamkosi kuamini majini ndio yanalinda usalama wa wananchi.
Kisha kwako wewe Upinzani ni makosa...yaani unachotaka wewe JK asimame peke yake pasipo kupingwa kama mnavyogawana madaraka ndani ya chama, lakini Watanzania hawajalala kama unavyofikiria. Kisha sifa unazompamba hata Zitto haziingi akilini yaani watu wamchague Zitto kwa sababu ni kijana?.. ama kweli wanaCCM bado mko dunia ya Ujima, endeleeni kutumia mawe..
Kama kura za uraisi zingekuwa zinapigwa kupitia mtandaoni na kujumuisha wapenda mtandao tu, na hasa kama JF ndio ingekuwa ni kituo pekee cha upigaji kura, basi Slaa angeshinda kwa kishindo. Hilo lingewezekana kama tu tungefikiria kuwa idadi ya wapiga kura wote Tanzania hawazidi elfu 10.
Lakini hiyo ni ndoto tu kwani hali halisi ni nyingine kabisa katika viwanja vya mpira kule Ulyankuru, Sekenke na maeneo mengine yafananayo na hayo Tanzania. Kiujumla tamko sahihi ni kwamba, Kikwete ni mzito sana kwa Slaa. Slaa angegombea wakati wa Mkapa ungekuwa wakati Muafaka, lakini safari hii kajiua kisiasa au pengine kakiua chama kizima kisiasa. Lau kama angesubiri mpaka 2015 angeweza kuambulia chochote, lakini kushindwa kwake mwaka huu kutamshushia hadhi yake hata 2015 kama ilivyokuwa kwa Mrema 1995 na kulamba dume 2000.
Kuna sababu tatu kuu zitazomuangusha Slaa; Kikwete kamaliza matatizo ya kimsingi ya Mtanzania ikiwa pamoja na usalama wa Raia na mali zake. Pili matatizo ya ujambazi yaliyokuwa yanawakera watanzania tokea Boko mpaka wasafiri wa mabasi mikoani ameyaondoa kabisa. Tatu kaondoa tofauti za wananchi kivyama au kaviunganisha vyama kwa kuelewa kuwa mpinzani wako si adui yako bali ni rafiki yako unayoweza kukaanaye na mkala sahani moja. Kuchaguliwa kwa akina Kabwe kushiriki katika kamati ya madini ni moja ya miujiza aliyoifanya Kikwete. Hata akisafiri haishi kuwachukua wapinzani katika misafara yake huko Ughaibuni. Sijakueleza maswala ya Muafaka alivyoyapeleka mpaka kafika kituoni BILA HATA VIONGOZI WA WAPINZANI KUTIWA NDANI. Kifupi hakuna mpinzani aliyetiwa ndani mwaka huu. Uhuru wa kusema ndio sikwambii, hata akina zawadi Ngoda eti leo wanaandika bila woga wowote ule.
Hayo na mengine mengi, yamefanya hata uchaguzi wa mwaka huu kutokuwa na mfuto sana, kwa kila mtanzania anajua kuwa katika nafasi ya uraisi Slaa ni msindikizaji tu. WanaCHADEMA wote wanafahamu kuwa hapo wamepoteza kiti cha Ubunge, na hii itawagharimu sana CHADEMA SIKU ZIJAZO.
Panga pangua, Slaa hawezi kushinda kwa vile zaidi ya kujiita Dr hana sifa kama zile za Kikwete. Kikwete kashika nafasi nyingi serikalini na jeshini, je Slaa ana nini la kutuambia. Kutosoma alama za nyakati ndiko kulikompotosha Slaa au CHADEMA kwa ujumla. Washauri wake hawakumchagulia wakati muafaka kwake kugombea uraisi. Pengine wamemtosa kistile. Mkaidi hafaidi mpaka siku ya IDD, lakini je siku ya Idd kwa Slaa imefika? Hilo ni swali ambalo kila mwana CHADEMA ajiuliza.
Let's put aside the enemity for awhile and walk our walk as tanzanian, as society of common good.,as civilised and responsible citizens...,kikwete kafanya hili halina ubishi.,sio propaganda..,hakuna changa la macho katika vitu ambavyo vipo tunakanyaga na tunaviona kwa macho yetu..,bahati mbaya tumesimamia makosa machache na kusahau wema mwingi tuliotendewa.,kwa haya yaliyobaki tushirikiane nae tuyakamilisha badala ya kuyabeza ilihali tunajuwa kuwa ni ya msingi na yanaleta na yataleta tija katika taifa hili...!