Slaa hawezi kumfikia lyatonga hata kidogo

Hivi ile hospitali ya milembe kule dodoma bado iko inafanya kazi?.. kwani kuna watoa mada inaelekea wana upeo mdogo sana wa kufikiri na watu wa aina hii ndio wanaotufanya turudi nyuma.. Nidhamu wa woga, ujinga na umasikini ni adui mkubwa wa maendeleo ya nchi yetu
 
Kumlinganisha Dr. Slaa na Lyatonga ni sawa na kupambanisha VUMBI na CEMENT. Mrema hakuwa na lolote bali mvurugaji na mroho wa madaraka. Mrema hakuwa mpinzania bali pandikizi la CCM na mpaka sasa bado CCM inaendelea japo keshajichokea na hana thamani kwao tena
 
Stop reasoning with your bottom, reason with your head. Unawezaje kulinganisha mwendawazimu asiye hata na digrii moja na daktari wa falsafa? Slaa angekuwa na uroho unaousema angeacha kugombea ubunge jimbo la Karatu?
 
Visasi anavyo Jk aliewafunga kina Liyumba na Babu seya kwa ajili ya mademu.
Mbona Jk kazidiwa akili kwa mbaali mno na KIngwendu?!
 
It seems the composer of this thread had nothing to inform us. Dr cannot be compared with the ailing Mrema who has "finished" himself!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom