Elections 2010 Slaa Balaa tupu Dodoma

Yes...!
pamoja...!
yes we can...!
vote for dr slaa...!
vote for a new tanzania...!
chagua mtu makini, epuka mafisadi...!
pamoja daima, tutafika, kulikomba taifa letu...!
 
Ndugu zangu wa dodoma,sisi ni sehemu muhimu ya kuliokoa taifa hili.nawasihi hata wanasisiem ifikie hatua tuukubali ukweli kwamba maendeleo hayataetwa na sisiem ktk miaka 5,wakati wameshindwa kumudu kwa miaka 50.Tusiendelee kuishi jehanam eti kwa sababu tu ya mazoea ccm,ccm.Mimi si shabiki wa chadema wala cuf.Lakini DR Slaa ni tumaini jipya.Tumpe kura sawasawa na umati huo tutakua tumejikomboa bila mtutu wa bunduki
 
I feel tears shade my eyes! I can't believe the real freedom will be coming on 31 October 2010. Fingers crossed. I'm scared with the news of vote riging particulary 4 million ghost voters.
 
SAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAFI SANAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA, CCM ZIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII.:rip:CCM
 
Alivomaliza tu kuhutubia likatokea wingu kubwa la mvua likifuatiwa na manyumyu.


ni kweli kabisa nilikuwepo Manynyu ya mvua yalikuwepo , hii ni kutuonyesha huyu NDIYE, ukombozi wa Dodoma jamani, Vizazi vya ombaomba viishe, HATA wagogo tumeshagundua kuwa UMASIKINI WETU UNATOKANA NA UONGOZI MBOVU WA CCM KWA KWELI, MAKAO MAKUU MIAKA 25....
SHULE ZETU MSALATO NA DODOMA SEC ZILIZOKUWA ZIKIONGOZA ZIMEKUFA KISA VIONGOZI WABOVU
SERIKALI LISILO SIMAMIA HAKI ZA WAFANYAKAZI.....
 
The time for true change has come.. Let be part of that change!!!

Let make the history of this Lovely country Tanzania

Let write the new chapter of democracy in Tanzania

Tanzania!!!!! One Country!!! One people!!!!

Mzee wa Ngwasuma, aka Kaka.......
Nimekusoma mkuu
Shamhamforash!
 
NEC na jaji makame please hear the cries of the oppressed! ensure their voices are heard on the ballot box

That old Mzee will have our blood hanging on his head. He should not retire with the blemishing of the Rostam party. We are fasting for him!
Mungu ampe maono asituibie this time around........
Waliwaibia TLP
Wakawaibia CUF
Sasa ni CHADEMA., say no to this , please Makame ,have mercy on us, hear the cries of the beloved Tanzanians!
 
Makame alipokwenda Namibia kama Foreign Obsever wa AU, comment alizotoa kama kweli zilitoka moyoni then JK asitegemee msaada kwake!!
 
Back
Top Bottom