Elections 2010 Slaa aunguruma Mwembeyanga, LIVE TBC1

Alikuwa na uhakika, amepangilia hoja, ushahidi na takwimu.

Zile takwimu kwamba Shukuru Kawambwa (Binamu yake Kikwete?) alitoa taarifa kwamba amajenga matundu ya vyoo (vina Milango?) manne kwenye shule kwa shilingi milioni mia saba (700,000,000/=) imenifanya nichanganyikiwe! Hivi hawa kina Kikwete wana akili kweli??
 
mi sijui
 
Back
Top Bottom