Slaa amerejea nchini

Sasa kama unakubali Lowasa ni mchafu, kwa unataka kutuambia aende ikulu hivyohivyo???? Unategemea mazuri gani kutoka kwake kama sio usanii tuu.
Issue hapa sio sijui viongozi waliopo madarakani. Tumia akili kidogo. Issue ni mtu anayekwenda ikulu from now onwards. Ni lazima tuwalinganishe kwa vigezo mbalimbali kuanzia, uadilifu, uaminifu, utendaji kazi, historia yake, mtazamo wake wa mbelena jinsi atakavyoweza kutatua matatizo mbalimbali, bila kusahau sera ya kuinua uchumi kutoka hapa tulipo na kuelekea uchumi wa kati
 
Subirini makombora tu msipanic mwaka huu mtabomolewa kutoka kila upande
 
Umeandika utumbo mtupu! Hakuna point hapa. Mwambie Lowasa aziongelee hizi pointi zako kwenye kampeni zake kama anaweza thubutu. Msifanye wananchi wajinga wewe. Katika hayo uliyotaja hapo 75 percent Lowasa anazijua na yeye ndie aliyepiga hela kupitia hayo mauzauza. Asidhani kikwete alimuachia achia kwa kumbeba akadhani anaweza thubutu kutamka ma kumkashifutu. Kwanza hapo namba 5, Richmond ni Lowasa ndie aliyepiga dili lote na kama anabisha amuulize Dr Mwakyembe.
Mwakyembe alithibitisha juzi ubungo kwenye kampeni kuwa Richmond mwizi ni Lowasa. Sasa ampeleke mahakamani kama anaweza.
 
Mbona wakiopitia ikulu ni wachafu kuliko yeye mkuu ?
 

Kama umeshindwa kuelewa hayo ninachoweza kusema kwa sasa ni kwamba yawezekana "Masaburi" yanahusika katika tafakari yako iliyoishia hapo!!Nafahamu kuwa Wananchi 2005 na 2010 walichagua Rais na wala sio ma Waziri Wakuu.Wananchi waliingia mkataba na Rais na ndiye atakayehukumiwa yeye na chama chake.Kwa kuwa Lowassa hayupo huko na hakuwa Rais na Rais amekaa kimya nasema CCM haitufai tena!!!..Nalog off!!
 

Kwa sisi vijana tusiomjua salim mohd salim, tusaidie alisemaje kipindi kile
 
wadau.

Kuwatonya tu slaa amerejea mjini Dar es salaam Jana akitokea marekani.

Maandalizi yanafanyika kwa umakini wiki ijayo aendelee na mashambulizi.

Be first to know


Afafanue kwanza kati ya wanaiokataa katiba ya wananchi na wanaoikubali ni nani atawasaidia watanzania
 
Slaa ni mhanga wa "SHUNTAMA" tuachane naye anaongozwa na nguvu za giza.
 

Hiyo ilani aliitayarisha Dr Slaa kwa hiyo lowasa hawexi kuitwkeleza kwani itawasambaratisha wabia wake kwenye mtandao wa ufisadi. Lowasa anataka urais ili alinde maslahi yake na urajiri wake haramu. Hata Mbowe na Tundu Lissu wanamtumia Lowasa kama mtaji wa kupata wingi bungeni na wanajua hapati urais. Baada ya uchaguzi watamtupa kama ganda la muwa. Vijana jazeni bunge upinzani ambalo ndilo lengo la Dr Slaa alilopigania kwa miaka 20. Lowasa tupa kule
[SUP][/SUP]
 
Nilisema ni bora na yeye angekuwa kwenye ile ndege iliyodondokea baharini mkuu.
Wafute na hii tena.

Kumbe urembo wako wote bure tu kwani roho yako ni nyeusi kama lami. Yaani unaombea binadamu afe kisa siasa? hivi aumeolewa kweli wewe? Nataka nikupige muhuri utosini
 
Hawa ndio wasomi tuliotegemea wataweka maslahi binafsi na maisha binafsi kando ili wawe na watoe mfano kwa Taifa ,but I doubt
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…