Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Wilbrod Slaa amepokelewa kwa shangwe na Wananchi wa Karagwe. Msafara wa Dr. Slaa ulikuwa na magari yapatayo 50 na pikipiki zaidi ya 80. Dr.Slaa yuko Wilayani Karagwe kwa ajili ya kufungua mafunzo ya kuwajengea uwezo Wenyeviti na Makatibu wote wa Mikoa wa CHADEMA kutoka Tanzania Bara na Visiwani. Mafunzo hayo yataanza kesho tarehe 22 hadi 23 Nov 2012. Picha zitakuja soon kuna shida ya Matandao kidogo