Slaa adharirishwa Kigoma Kaskazini jioni hii. Akimbia mkutano

Status
Not open for further replies.

mwenegoha

JF-Expert Member
Apr 10, 2013
205
101
Wakuu,
Taarifa za uhakika kutoka kwa katibu wa JIMBO LA KIGOMA KASKAZINI CHADEMA ndugu RAMA RUAHA, ni kwamba Katibu mkuu wa CHADEMA Padri SLAA leo alikuwa afanye mikutano miwili katika vijiji viwili baada ya kukimbia NGOME KUU YA ZZK ''MWANDIGA'' na kukimbilia kuweka mikutano ifanyike kijiji cha NYARUBANDA na mwingine KIDAHWE.

Taarifa kamili ni kama ifuatavyo

(i). MKUTANO WA NYARUBANDA. - Itabidi PADRI SLAA aishukuru mvua iliyowatawanyisha wananchi wenye HASIRA walioanza kumshambulia SLAA kwa mabango, maneno makali na mawe, huku vijana wake wa REDBRIGED wakionyesha kuishiwa nguvu na kuomba msaada wa POLISI.

SLAA anayejidai kichwa ngumu leo ameishukuru mvua hiyo iliyositiri AIBU YAKE YA KARNE YA KUPOPOLEWA NA MAYAI VIZA NA MAWE.

(ii). MKUTANO WA KIDAHWE - Katika Hali ile ile ya WAHA WA KIGOMA kumchukia DOKTA SLAA kwa kuwafanya wendawazimu na kuwataka washerehekee MAZISHI YA KIJANA WAO, huku SLAA ILIMBIDI AINGIE MITINI.

NDIO, SLAA AMESHINDWA KUTOKEA MKUTANONI KIDAHWE BAADA YA KUAMBIWA KUWA WANANCHI WA ENEO HILO WANA HASIRA NA CHUKI KUBWA DHIDI YAKE, VIONGOZI WA CHADEMA KIDAHWE WALIKATAA HATA KUMUWEKEA MEZA YA KUSIMAMA KUHUTUBIA, GARI LA M4C LILILOONGOZANA NA VIBARAKA WAKE LILIAMBULIA MATUSI MAKUBWA NA MAWE MFULULIZO KISHA KUPEWA TAHADHARI KUWA MLETENI SLAA AONE CHA MTEMA KUNI.

KWA KIFUPI KABISA SLAA AMEUMBUKA KWA KUSHINDWA KUHUTUBIA JIMBONI KWA ZITTO KABWE,

WENYEWE WANASEMA ''slaa hawezi kutuulia mwanetu halafu anakuja kutuimbia NGOMA za kikweo tucheze, sisi sio wapuuzi''

namuomba MOLEMO, BEN SAA NANE, TUMAINI MAKENE, WAITARA NA WENGINEO WOTE WAJE HAPA KUBISHA AMA KUTHIBITISHA TOFAUTI''

UPDATES

Ili kufanikisha mkutano wa MWANGA CENTRE KESHO HAPA KIGOMA, SLAA amekutana na MAPADRI muda mfupi uliopita na kuwaomba awahamasishe waumini wao waje kwenye mkutano wa kesho ili wasipate AIBU,

vile vile mikutano imepunguzwa kutoka mikutano miwili kwa siku na kubaki na mkutano mmoja tu. hali ya babu ni mbaya sana kisiasa kigoma, anaishi kwa msaada wa policcm. kweli hujafa hujaumbika
 

picha wapi au umbea umbea tu.
 
Mbona unatumia nguvu nyingi sana kueleza mambo ya kawaida tu ?

Kawaida ni nini hapo???!!!!
Yaani kiongozi wa chama.atoke Dar kwa ruzuku zetu mpaka Kigoma na mikutano inasemekana haijafanyika unasema kawaida????!!!!
 
Wameitwa watu wakubali au wakate hii ni kuonesha kujiamini kwa mtoa habari!!!!!!

Ngoja waje tutasoma hapa!!!!!

Ben,Tumaini Makene, wako bize wanajaribu ku edit picha za kupeleka ITV na kweye kikaratasi chao( wenyewe wanaita gazeti) la chadema daima.
 
Hao uliowaita ni Royal family wa Slaa na wakija hapa lazima wapambepambe na kuwahadaa wasomaji lakini mwenye macho haambiwi tazama.
 
Ben,Tumaini Makene, wako bize wanajaribu ku edit picha za kupeleka ITV na kweye kikaratasi chao( wenyewe wanaita gazeti) la chadema daima.

Kuficha ukweli ni sawa na.kufunika moto!!!!!!

With time all will be revealed
 

another reason for ZK to go... he couldnt defend his party leaders kwenye jimbo lake
 

kwa staili hii unaonekana umekurupushwa toka chooni.
nahisi hujajitawaza bado maana hujatulia bado.

unatuletea bla bla za vijiweni..weka uthibitsho wa maneno yako ili wanajamvi waujue ukweli.

vinginevyo wewe ni gambaz sawa na hao wapenda fujo unaotamani wakusaidie kuharibu mikutano ya dr.
 
Wameitwa watu wakubali au wakate hii ni kuonesha kujiamini kwa mtoa habari!!!!!!

Ngoja waje tutasoma hapa!!!!!

Taarifa ailete yeye kimbeambea afu waitwe wengine kujibu upuuzi wake..!? NO WAY..!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…