Slaa adharirishwa Kigoma Kaskazini jioni hii. Akimbia mkutano

Status
Not open for further replies.
hichi kibabu ndio mana kilifukuzwa na pengo

Mi nawaambia,kibabu hiki kina roho mbaya sana! Hakifai hata kupewa uenyekiti wa kijiji! Kizee kiko tayari hata zito afe ili kifurahi! Kizee kiko tayari hata damu imwagike ili mradi kionyeshe kwamba kinaweza kuwadhalilosha wote waliompa Kura ZZK! Huyu mzee ndio maana kazi ya Mungu ilimshinda! Eti kanajifananisha na Madiba! Ovyooo!
 
Wakuu,
Taarifa za uhakika kutoka kwa katibu wa JIMBO LA KIGOMA KASKAZINI CHADEMA ndugu RAMA RUAHA, ni kwamba Katibu mkuu wa CHADEMA Padri SLAA leo alikuwa afanye mikutano miwili katika vijiji viwili baada ya kukimbia NGOME KUU YA ZZK ''MWANDIGA'' na kukimbilia kuweka mikutano ifanyike kijiji cha NYARUBANDA na mwingine KIDAHWE.

Taarifa kamili ni kama ifuatavyo

(i). MKUTANO WA NYARUBANDA. - Itabidi PADRI SLAA aishukuru mvua iliyowatawanyisha wananchi wenye HASIRA walioanza kumshambulia SLAA kwa mabango, maneno makali na mawe, huku vijana wake wa REDBRIGED wakionyesha kuishiwa nguvu na kuomba msaada wa POLISI.

SLAA anayejidai kichwa ngumu leo ameishukuru mvua hiyo iliyositiri AIBU YAKE YA KARNE YA KUPOPOLEWA NA MAYAI VIZA NA MAWE.

(ii). MKUTANO WA KIDAHWE - Katika Hali ile ile ya WAHA WA KIGOMA kumchukia DOKTA SLAA kwa kuwafanya wendawazimu na kuwataka washerehekee MAZISHI YA KIJANA WAO, huku SLAA ILIMBIDI AINGIE MITINI.

NDIO, SLAA AMESHINDWA KUTOKEA MKUTANONI KIDAHWE BAADA YA KUAMBIWA KUWA WANANCHI WA ENEO HILO WANA HASIRA NA CHUKI KUBWA DHIDI YAKE, VIONGOZI WA CHADEMA KIDAHWE WALIKATAA HATA KUMUWEKEA MEZA YA KUSIMAMA KUHUTUBIA, GARI LA M4C LILILOONGOZANA NA VIBARAKA WAKE LILIAMBULIA MATUSI MAKUBWA NA MAWE MFULULIZO KISHA KUPEWA TAHADHARI KUWA MLETENI SLAA AONE CHA MTEMA KUNI.

KWA KIFUPI KABISA SLAA AMEUMBUKA KWA KUSHINDWA KUHUTUBIA JIMBONI KWA ZITTO KABWE,

WENYEWE WANASEMA ''slaa hawezi kutuulia mwanetu halafu anakuja kutuimbia NGOMA za kikweo tucheze, sisi sio wapuuzi''

namuomba MOLEMO, BEN SAA NANE, TUMAINI MAKENE, WAITARA NA WENGINEO WOTE WAJE HAPA KUBISHA AMA KUTHIBITISHA TOFAUTI''
attachment.php
 
kwa staili hii unaonekana umekurupushwa toka chooni.
nahisi hujajitawaza bado maana hujatulia bado.

unatuletea bla bla za vijiweni..weka uthibitsho wa maneno yako ili wanajamvi waujue ukweli.

vinginevyo wewe ni gambaz sawa na hao wapenda fujo unaotamani wakusaidie kuharibu mikutano ya dr.

Mbona anaonekana tu kuwa huyo ni bk7 fc player...!
 
Mbona umechelewa kupaste uwongo mwenzako leo katumia ID ya Raia Watanzania amekuwahi mrembo wangu
 
Last edited by a moderator:
Wakuu,
Taarifa za uhakika kutoka kwa katibu wa JIMBO LA KIGOMA KASKAZINI CHADEMA ndugu RAMA RUAHA, ni kwamba Katibu mkuu wa CHADEMA Padri SLAA leo alikuwa afanye mikutano miwili katika vijiji viwili baada ya kukimbia NGOME KUU YA ZZK ''MWANDIGA'' na kukimbilia kuweka mikutano ifanyike kijiji cha NYARUBANDA na mwingine KIDAHWE.

Taarifa kamili ni kama ifuatavyo

(i). MKUTANO WA NYARUBANDA. - Itabidi PADRI SLAA aishukuru mvua iliyowatawanyisha wananchi wenye HASIRA walioanza kumshambulia SLAA kwa mabango, maneno makali na mawe, huku vijana wake wa REDBRIGED wakionyesha kuishiwa nguvu na kuomba msaada wa POLISI.

SLAA anayejidai kichwa ngumu leo ameishukuru mvua hiyo iliyositiri AIBU YAKE YA KARNE YA KUPOPOLEWA NA MAYAI VIZA NA MAWE.

(ii). MKUTANO WA KIDAHWE - Katika Hali ile ile ya WAHA WA KIGOMA kumchukia DOKTA SLAA kwa kuwafanya wendawazimu na kuwataka washerehekee MAZISHI YA KIJANA WAO, huku SLAA ILIMBIDI AINGIE MITINI.

NDIO, SLAA AMESHINDWA KUTOKEA MKUTANONI KIDAHWE BAADA YA KUAMBIWA KUWA WANANCHI WA ENEO HILO WANA HASIRA NA CHUKI KUBWA DHIDI YAKE, VIONGOZI WA CHADEMA KIDAHWE WALIKATAA HATA KUMUWEKEA MEZA YA KUSIMAMA KUHUTUBIA, GARI LA M4C LILILOONGOZANA NA VIBARAKA WAKE LILIAMBULIA MATUSI MAKUBWA NA MAWE MFULULIZO KISHA KUPEWA TAHADHARI KUWA MLETENI SLAA AONE CHA MTEMA KUNI.

KWA KIFUPI KABISA SLAA AMEUMBUKA KWA KUSHINDWA KUHUTUBIA JIMBONI KWA ZITTO KABWE,

WENYEWE WANASEMA ''slaa hawezi kutuulia mwanetu halafu anakuja kutuimbia NGOMA za kikweo tucheze, sisi sio wapuuzi''

namuomba MOLEMO, BEN SAA NANE, TUMAINI MAKENE, WAITARA NA WENGINEO WOTE WAJE HAPA KUBISHA AMA KUTHIBITISHA TOFAUTI''

hakuna mwenye akili timamu anayeweza kukubaliana na huu ujinga wako!!
Soma tena huu utumbo wako ujione ulivyo mtupu
 
Mi nawaambia,kibabu hiki kina roho mbaya sana! Hakifai hata kupewa uenyekiti wa kijiji! Kizee kiko tayari hata zito afe ili kifurahi! Kizee kiko tayari hata damu imwagike ili mradi kionyeshe kwamba kinaweza kuwadhalilosha wote waliompa Kura ZZK! Huyu mzee ndio maana kazi ya Mungu ilimshinda! Eti kanajifananisha na Madiba! Ovyooo!
Mods, huwa mnatumia vigezo gani kufanya kazi zenu kiadilifu?
 
Hivi kwanini Mods wanaziacha thread hizi?
Kwanza source haieleweki. Haijulikani Rama ni nani na mwandishi hajasema ni kiongozi wa chama gani!
Mada imejaa mipasho kuliko facts!
Inaonekana aliyeandika anayejibizana na watu ni yule yule ila majina tofauti!
Huu ni upuuzi mtupu! Mods kama wataacha upuuzi huu uendelee basi JF ndio itakufa very soon!

CC: Invisible, Buchanan, Paw
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom