Kumekucha kitovu cha mapambanoGo Slaa gooooo
Nawaomba wana JF mfuatilie kampeni zake akifika Rombo kwa mtuhumiwa Basil Mramba.
Serikali inamshktaki kwa matumizi mabaya ya madaraka,mkuu wa kaya anatuambia hilo ni panga la zamani lisiloisha makali,inamaanisha kwakua bado ana makali ataendelea kufanya ubadhirifu wa madaraka.
Mramba ana kesi hafai kuwa mbunge wa Rombo.