Skype, eBay na Amazon

Joined
May 8, 2012
Posts
29
Reaction score
4
Jamani naomba kuuliza; kwa sababu kuuliza si ujinga, na kila aulizae ataka kujua. Kuna hii MITANDAO mitatu; Skype, eBay na Amazon; Je kila mmoja kati ya hii MITANDAO mitatu unajishughulisha na mambo gani? Ahsanteni sana!
 
Skype ni mtandao wa mawasiliano kwa gharama nafuu kupitia internet.

Ebay na Amazon ni mtandao ya kuuza vitu kupitia mtandai ie online buying & selling.
Kama sample nitaeleza mtandao wa ebay ambao ili uweze kuuza au kununua ni lazima uwe mwanachama ie kujisajil kama ilivyo hapa JF huwezi kupost bila kujiunga.

Lakini wao wameenda mbali zaidi kwa kuweka ebay protection ambayo kuna vitu inacover ili kuepuka utapeli au kumhakikishia mlaji au mtumiaji.

Kwa hiyo ndugu yangu kama unahitaji kununua ebay jisalijili kisha fungua akaunti yako ya kulipia online ambayo wa wanasuggest sana paypal ambayo ni ya haraka na ina usalama pale unapofanya malipo yako online.

Kama nitakuwa sijakidhi haja unaweza kuuliza tena sehemu yenye mushikeli.
 
skype;kuchat na vide call
ebay na amazon:ni matangazo madogo madogo ya jf globally
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…