skype chat history

skype chat history

Nyasiro

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2012
Posts
1,201
Reaction score
551
hivi kuna njia yoyote ya kupata conversation ya skype. nlitia OS upya kwa hii PC sasa ile chat imepotea na mechanism ya windows 7 ilikuwa ile chat inatunzwa kwenye temporary directory ndani ya .db Database file %appdata%\Skype\ hii temp directory haipo kwenye windows 8 skype app lakini nna ile chat katika format text .txt ntafanyaje niweze kuload hiyo .txt conversation kwenye windows 8 skype app????
 
Back
Top Bottom