The List
JF-Expert Member
- Mar 25, 2017
- 1,739
- 4,943
Dont hunt what you cant killWewe nitakupa ban!
Unabisha!
muosha rungu
Fils de pute!!!

Dont hunt what you cant killWewe nitakupa ban!
Unabisha!
muosha rungu

Naomba link ya huo uzi nina maswaliMie tayari nilishasailiwa mkuu.
AiseeNiseme wazi hii intavyuu imekuwa chini yakiwango.sikutegemea hili.
Kweli nimeamini usitukane mamba kabla hujavuka mto.
....Ndio nilichofanya!
AyaNdioo
Dùuh...inaelekea Muosha rungu, huko karibu sana na Mods....!!
Una uhakika gani kuwa kijana wako atapewa BAN...?
Achana nae Mkuu, sometimes a man (real man) can learn through mistakeas..
Muache/Achana nae....anaweza kuwa ana mapungufu na matatizo Kichwani...!!
Usumbufu wake, kama sio Utoto basi ni Ujinga unamsubua....!!
Kizuri kwangu "nime-mnote".
Nafahamu sasa jinsi ya kwenda nae..![]()
![]()
![]()
Sent using Jamii Forums mobile app


Mimi nataka nikuteke ww mtt mzuriPoa naona umemteka carba.. tutambulishane aisee hunter

Ivi ww kwanini unaclaim ni ME??Kivipi mkubwa!
Ulitegemea nn
Na umeona nn
muosha rungu
Vipi maoni yako mkuu?Aisee
Nimeona uongo wakiwango cha PHD.Kivipi mkubwa!
Ulitegemea nn
Na umeona nn
muosha rungu
Hata mimi nilivyotegemea sio mzeeVipi maoni yako mkuu?
Ewaaaa! Nlikuwa nakatiza mitaa ile to zambia ilo jina Vwawa nlikuwa nashindwa kultamka mie nlikuwa naweka viwawa badala ya vwawahahaa vwawa ! karibia na tunduma





Ewaaaa! Nlikuwa nakatiza mitaa ile to zambia ilo jina Vwawa nlikuwa nashindwa kultamka mie nlikuwa naweka viwawa badala ya vwawa![]()