Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,985
- 189,557
Unalazimisha Wanaume wa Jf tudhibitishe juu yako.Wewe ni KE ila unajificha![]()
![]()
![]()
![]()
Acha kututangazia biashara yako.
Unalazimisha Wanaume wa Jf tudhibitishe juu yako.Wewe ni KE ila unajificha![]()
![]()
![]()
![]()
Vitoto vizuri
Sisi ni soul mates na msingi imara ninuaminifu. Ukiwa unamwamini mtu hata akikwambia leo nilitoa laki tano kutoka joint account wala hutamuuliza ulizifanyia nini.
Pole eehBado napika yaan nimekuja mara moja nimepewa kazi acha tu kujifanya jana hodari wa kupika maandazi me mzima sana mamy hofu kwako


AsanteeeeSisi ni soul mates na msingi imara ninuaminifu. Ukiwa unamwamini mtu hata akikwambia leo nilitoa laki tano kutoka joint account wala hutamuuliza ulizifanyia nini.
Hahaha!Sisi ni soul mates na msingi imara ninuaminifu. Ukiwa unamwamini mtu hata akikwambia leo nilitoa laki tano kutoka joint account wala hutamuuliza ulizifanyia nini.
Wewe ni KE??Achana nahuyo mtu bhana anakupotezea mda tu
Kurogwaje babu tena
HongereniKazi yangu na mama yao Sakayo.
Natambua uwepo wakoSent using Jamii Forums mobile app
Kama nilivyosema mwanzo ni kuwa he is my soul mate, kila siku kwetu ni honey moonHahaha!
Nini unadhani ni udhaifu wako katika ndoa kama mwanamke!?
Vitu gani ulivyonavyo au ufanyavyo vinaidumisha ndoa!?
Una furaha ya kweli ktk ndoa yako au upo kifungoni?
muosha rungu
Hahaha!
Nini unadhani ni udhaifu wako katika ndoa kama mwanamke!?
Vitu gani ulivyonavyo au ufanyavyo vinaidumisha ndoa!?
Una furaha ya kweli ktk ndoa yako au upo kifungoni?
muosha rungu
Leo mambo ya kununa na keyboard hakuna .....make jana nilikuchukua pichaaa
![]()