Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,077
- 464,004
AahahhahhaNi ke mwenye uke
AahahhahhaNi ke mwenye uke
Abeeed Dada akeeShunie linamo emmyta cab ney sakayo joseverest numbisa tukutane saa 10 wapendwa
Mbona vichat vya ki KE KE
Kama kweli ni ME MAN UP ASEE!!!
watu wana mawindo yao apa usije ukapitiwa kama nilivyopitiwa
Social services!Ninapenda kusaidia sana project za kanisani na enters shida. Ninapenda pia vitu vizuri sijisahau mimi mwenyewe
Jamaan halaf mbona nimefanana naePalee shunie anaposikia leo ni lugha ya ubuyu![]()

Huyo ndio nani jamaanLeo mambo ya kununa na keyboard hakuna .....make jana nilikuchukua pichaaa
![]()

Dada akee kwani huyo ni mimishunieeee
Ulikuwa wapi mdog angu leoAbeeed Dada akee
SijamboMama Naveen na Najma![]()
Tumekuita mpk makoo yamekauka ndo nipo kituoni nipande bas nije kwako kukushtua shunieee njoo linamoo

Kukata tamaa ni msamiati katika maisha yangu ingawaje nimeshakutana na matapeli ambao walinirudisha nyuma lakini unaachana nao na unaendelea kupambanaSocial services!
Katika maisha ni mambo yepi unajuta kuyafahamu?
Uliwahi kukata tamaa ktk mambo uliyoyatamani au kuanzisha!
muosha rungu
Mbona umenikimbia PM le mtindiz??
Nimekuja mara moja tu baba dLeo shunie atachelewa kidogo
Nilikusahau mjombaMbona mimi mjomba wako hujanitaja???![]()
Naveen na NareenMama Naveen na Najma![]()
Heko!Kukata tamaa ni msamiati katika maisha yangu ingawaje nimeshakutana na matapeli amani walinirudisha nyuma lakini uaachana nao na unaendelea kupambana