Kwa kuwa tayari umefungua account ya skrill, kinachofuata ni ku_Link
(a) Card yako ya benki ambayo tayari iko activated kufanya miamala mtandaoni au
(b) Account number ya benk husika - Inatakiwa uwe unafahamu SwiftCode ya hiyo benki unayotumia
View attachment 543772
Baada ya kuwa fedha imeingia, Click withdraw ambapo utakuwa na option mbili za kutoa fedha
View attachment 543776
1. Kutoa kupita account number yako
- Fedha huchukua kati ya siku 2 - 5,
- makato ni USD 6.31 bila kujali kiasi chafedha unachotoa.
2. Iwapo utatoa kupitia Card yako
- Huchukua zaidi ya siku 6
- Makato ni asilimia 7.5 ya kiasi cha fedha utakachotoa
NB:- Njia ya haraka zaidi ni kutumia MPESA KENYA ambapo fedha unaipata within 30seconds kutoka account yako ya skrill kwenda namba ya mpesa kenya.
Kwa bahati mbaya hii huduma ya Skrill vs MPESA TZ, au mtandao mwingine wa simu, haipo kwa sasa.
KARIBU