Skrill kwenda Mobile Wallet Tanzania instantly

Aisee unanyonya sana watu yaani kwa kua una laini ya Safaricom ndio uweke fee kubwa hivyo. Punguza kiasi tufanye miamala.
Fee maelewano
 
Yan kwenye 500 uachiwe 30😄...bado skrill wacharge tena 3%...
Acha wizi wenzako wanazinunua hizo bila charges zozote labda hiyo % ya skrill, tena kwa rate ya 2300.
 
Yan kwenye 500 uachiwe 30...bado skrill wacharge tena 3%...
Acha wizi wenzako wanazinunua hizo bila charges zozote labda hiyo % ya skrill, tena kwa rate ya 2300.
Kwenye exchange hela inapungua, kumbuka hela inakufikia kwa TZS, fee yangu maelewano
 
Yan kwenye 500 uachiwe 30😄...bado skrill wacharge tena 3%...
Acha wizi wenzako wanazinunua hizo bila charges zozote labda hiyo % ya skrill, tena kwa rate ya 2300.
Nani ananunua bila charges mkuu, maana mimi natoaga skill kwenda bitcoins ndo naingiza tigo pesa.

Kwenye laki napoteza kama elfu 20 hivi
 
Back
Top Bottom